Baada ya BRT kukosa mabasi mradi wa Mbagala waanza kuchakaa kabla ya uzinduzi pamoja na kwamba umekamilika kwa 99.9%

Ujenzi haujakamilika ingawa wewe unaona umekamilika. Au unashauri waanze operation kabla miundombinu kukamilika?
Bado nini? a mwaka 2022 majaribio yalifanyika wakafaulu, mwaka 2023 mwezi wa 7 majaribio mwengine toka Kariakoo hadi rangi 3, tueleze wewe kuwa bado nini?
 
Waandishi wengi sana tatizo ni sisi watanzania kazi yetu ni kuwaabudu hawa viongozi kama miungu watu tz raia wengi wanajipendekeza kwa viongozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…