Baada ya CCM kuondolewa madarakani Watetezi wake mitandaoni watakimbia na kutoweka ama watajificha

Ni kichaa pekee ambaye ataamini kwamba hakutakuwa na mabadiliko eti mpaka kundi fulani la watu life
Tuombe uzima,CCM is there to rule decades after decades.Wapinzani wenyewe hampo serious.I think watanzania wote wanatakiwa wasome FRANCE REVOLUTION, hapo ndo wataelewa na siku moja kuiondoa CCM .Wamarekani wenyewe walikuwa motivated na French Revolution.Hata Patrice Lumumba alitapa motivation baada ya kusoma FRENCH REVOLUTION ILIVYOANZIA HADI IKATOKEA.Kama tu UKUTA mlifyata mkia,mtaweza kuitoa CCM NYINYI?
 
Utatumia njia gani kuiondoa CCM madarakani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sisi tusio na akili tutapiga kura. Nyie wenye akili kaeni nyuma ya Keyboards zenu ili tuwatawale vizuri
BILA TUME HURU KILA KITU HAKIWEZEKANI,HATA KWENDA KUPIGA KURA KWA MWENYE AKILI TIMAMU HAKUNA MAANA YOYOTE.
 
Kinachoumiza zaidi ni wanaojiita wapinzani kukwepa kulipa gharama za kuwa mpinzani. Hii ni afrika!!

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
 
Endeleeni kujiliwaza. Kama kugombea urais kwenyewe Mwenyekiti Mbowe anaogopa. Lissu mwenyewe keishamshtukia Mbowe kuwa anampeleka front agombee urais ashindwe abaki kudanga mtaani huku yeye Mbowe na vimada wake wakiombea kuongoza KUB! Ndio maana kagoma kuja, anawadanganya eti usalama. Kumbe usalama wa maslahi!
 
Waoga hawa,juzi wameomba maridhiano,ukuta uliwashinda.Kuiondoa CCM Kunahitaji watu wenye ngonzi ngumu kama ya Mamba.Hakuna cha kufanya UTURN AS FAR AS MNACHOSIMAMIA NI HAKI.
Wewe ni miongoni mwa wengi mtakaokimbia hapa jf
 

Mkuu watu wenye uelewa wa mambo tunajua vizuri maneno ya kitapeli ya wanasiasa na wala hayatupi tabu. Hivi hujamsikia Magufuli anasema tunajenga reli ya SGR kwa fedha zetu za ndani, na fedha zipo, kisha watu wanamshangilia na kusema hakuna kiongozi kama yeye baada ya Nyerere? Halafu siku 2 tatu hizi kaenda kukopa 3.3 za ujenzi wa reli hiyo hiyo na bado watu wanashangilia! Na nyie watetezi wake mnasema hamna shida kwakuwa tunakopesheka, badala ya kumuuliza zile pesa alizosema tunazo za kujengea reli kazipeleka wapi, mpaka akakope leo hii?

Ama mkuu uliposikia hiyo kauli ya Mbowe hukusukia Magufuli akisema mafisadi yamekimbilia cdm, kisa Lowassa na Sumaye walikuwa cdm akashangiliwa sana. Leo hivi wote wamerudi ccm bila kushitakiwa kwa huo ufisadi, na bado anashangiliwa kwa kuwarudisha ccm!
 

Hapo ndio umemaliza hoja za utetezi au tuwe wavumilivu hii ilikuwa ni warmup tu?
 
 

Ccm

Ccm inatolewa madarakani kwa kupambana tu? Au unaropoka kwenye uzi wa wanaume ili uonekane na ww unajua mbinu za kuwatoa ccm?
 
Dogo, hakuna chama 2020, 2025 cha kuiondoa CCM madarakani! Hayo mnayoandika ni mbwembwe za mitandaoni tu!

Kwa tume hii ya uchaguzi ccm haiwezi kutoka, sio kwakuwa inauwezo au kukubalika, bali ili uwe mtumishi wa tume ni lazima utii atakacho Magufuli. Kwa mtu anayejitambua hawezi kuongelea kuitoa ccm madarakani kwa tume hii. Njia za kuitoa ccm madarakani ziko nyingi, ila sio kwa uchaguzi chini ya tume hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…