Nilijua tu, wewe kubwa jinga lazima u replyMbona makamanda uchwara wengi tu wametoweka baada ya rais wao wa mioyoni kujiunga na CCM lakini husemi?
Hapo ndio mnapokosea sana kutetea Demokrasia kwa kuangalia Urais tuu.Na bila kupitisha sheria ya kupinga mahakamani matokeo ya Uraisi ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu cha Ufipa
Sent using Jamii Forums mobile app
Embu wataje hata kwa code mkuu.Hapo ndio mnapokosea sana kutetea Demokrasia kwa kuangalia Urais tuu.
Urais ni ngumu sana wapinzani kuupata kwa mihemko waliyo nayo.
Nchi hii imebebwa na kundi la wazee wanaonufaika sana na Keki ya Taifa wao na familia zao.
Kuwatoa hao ni ngumu mno mno. Hasa kwa mbinu na siasa za Mbowe kama chama kikuu cha upinzani.
Kisiasa na kijamii Mbowe na baadhi ya wapinzani tunaowategemea kwenye mapambano ya kuitoa madarakani bado ni wachanga mno kimaarifa ya kuweza kujenga vijana Jeuri na korofi wa kuweza kubadili njia za vijana wa kizazi hiki wanaoweza kusimama hadharani na kupambana na vijana wachache walioshiba ndani ya CCM na kuasahau kuwa kesho ya Taifa hili inaharibiwa na Wazee wanaodhani kuwa Amani ya nchi ni wao kuneemeka milele. Wazee walio sahau kuwa Hata wakiongezewa miaka mia mbele lakini iko siku watarejea kwa muumba na kuulizwa juu ya kushindwa kujenga Taifa lenye kusimamia haki badala ya madaraka na ubinafsi kama ilivyo sasa.
Dr. Slaa ,Lipumba ,Maalim Seif ni wanasiasa waliokuwa wamejaliwa uwezo wa kuitikisa CCM kupitia njia wanazotumia CCM ambazo ni dini na ukabila. Bahati Mbaya 2015 ukawa ni mwisho wao wa siasa za upinzani baada ya CCM kufanikiwa kubahatisha karata ya kuwavuruga wapinzani kupitia kauli mbiu yao ya kujivua gamba na kukatwa.
Kwa sasa haiwezekani kirahisi kuivuruga CCM iliyobeba mapanga usiku huku ikitangaza amani mchana .
Ni watu wawili waliobakia ambao wanauwezo wa kuitikisa CCM kidogo sana nitawataja baadae endapo wapinzani waliomu humu watarudi kwenye Hoja badala ya vioja na matusi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni mwaka wa hatari sana na wa uchaguzi.
mkuu ccm inang'olewa 2020
Uchaguzi huu utasimamiwa na MabeberuCcm haitoki kwa kura kwa hii tume ya uchaguzi inayomtii rais. Unataka hao wajumbe wa tume watekwe?
Erythrocyte, Kichekesho ni kuwa hii ndoto ya jinamizi inayokukaba asubuhi hii wala haitakwisha!
Muzee huyo anayekuuzia mihadarati tujuze na wenzako tumfuateHili jambo ndilo litakalotokea. Hawa wote mnaowasoma humu JF na kwingine wakitoka jasho la kwapa kutetea maovu ya CCM bila kujali utu wa binadamu, hawataonekana tena baada ya CCM kuondoka.
Hawa si watetezi wa bure, bila shaka wanalipwa. Hii ni kwa sababu hakuna binadamu yeyote mwenye akili timamu anayeweza kutoka mshipa wa shingo kwa ajili ya kutetea unyama, haitawezekana!
Hawa wanahangaika kwa vile wao wenyewe wanalipwa ama wazazi wao wanalipwa.
Hakuna mtu yeyote wa CCM katika hawa wanatoka povu humu atakayekubali kutetea uchafu wa CCM bila kulipwa, tena katika kipindi ambacho jumuiya ya kimataifa inatafuta majina ya wanaCCM ili washtakiwe, yaani hawa watetezi wa CCM hawawezi kufanya kazi iliyotukuka kama wanayofanya Wapinzani kama sisi bila malipo ya kukosoa utawala wa mabavu na kutetea Katiba ya nchi huku tukikwepa mishale ya sumu ukiwemo utekaji, risasi na wakati mwingine uchawi.
Hawa wote unaowafahamu hapa wanaojiita watetezi wa uzalendo ni wachumia tumbo wenye njaa kali sana, ambao kwao njaa ya tumboni ni muhimu kuliko utu.
Utetezi wa CCM ndiyo ajira yao ya kujikimu, hawana uwezo wa kutetea CCM nje ya madaraka na wengi watabadili ID ama watakimbia kujificha.
Umeongea point kubwa sana. Mwaka 2017 Zitto alikua anampinga Tundu la Lissu waziwazi hadi nusu umauti ulipomfika Lissu akageuka na kuanza kushibakia zilezile sera za Lissu. 2019 CDM wakawatuma makada wao wakiongozwa na Yericko Mwinyigumba tuvuke kumkuju Nyerere kumshambulia Zitto. Halafu wabunge wao wanazidi kupukutika kurudi CCM wao wakilia wananunuliwa. Hii hoja ya kununuliwa wanayoikubali kama huyu mwandishi wa makala haya. Wao badala ya kutafuta chanzo cha wafuadi na wabunge kuhama. Wakakaa na kujadili kiuwazi bila kuita watu wasaliti wangeweza kupata suluhu. Lakini tatizo kubwa wao pia ni madikteta hawataki kuwasikiliza wanaolalamika. Wanakiendesha chama cja upinzani kwa mitandao halafu wanaleta vichekesho vya kuitoa ccmErythrocyte,
Upinzani waweke tofauti zao ndogo ndogo pembeni. Kwa ubazazi wa hawa jamaa yanayowatenganisha ni madhaifu mno kuliko huyu bazazi anayewaunganisha dhidi yake.
Muhimu ni kupiga hatua mbele kwa kuongeza zaidi idadi ya wabunge wa upinzani bungeni.
Mbona hawa jamaa wanapigika tu.
ushaelewa ila umeamua kufa na tai shingoniMuzee huyo anayekuuzia mihadarati tujuze na wenzako tumfuate
Ndiyo maana tumesema kazi ni moja tu kuliondoa dudu CCM ndani ya Dola ili kuliokoa taifa.BILA TUME HURU KILA KITU HAKIWEZEKANI,HATA KWENDA KUPIGA KURA KWA MWENYE AKILI TIMAMU HAKUNA MAANA YOYOTE.
Kama una kifua nitapenda kukuwekea hadharani pesa inavyolipwa na ccm ili kuwanunua wasaliti , wala siyo siri ! na hapo ndio utakaposhang'aa na kusikitika kuendelea kuitumikia ccm huku wasaliti wakipiga pesa na nyie wafia chama mkiendelea kutoka jasho la kwapaUmeongea point kubwa sana. Mwaka 2017 Zitto alikua anampinga Tundu la Lissu waziwazi hadi nusu umauti ulipomfika Lissu akageuka na kuanza kushibakia zilezile sera za Lissu. 2019 CDM wakawatuma makada wao wakiongozwa na Yericko Mwinyigumba tuvuke kumkuju Nyerere kumshambulia Zitto. Halafu wabunge wao wanazidi kupukutika kurudi CCM wao wakilia wananunuliwa. Hii hoja ya kununuliwa wanayoikubali kama huyu mwandishi wa makala haya. Wao badala ya kutafuta chanzo cha wafuadi na wabunge kuhama. Wakakaa na kujadili kiuwazi bila kuita watu wasaliti wangeweza kupata suluhu. Lakini tatizo kubwa wao pia ni madikteta hawataki kuwasikiliza wanaolalamika. Wanakiendesha chama cja upinzani kwa mitandao halafu wanaleta vichekesho vya kuitoa ccm
Unailaumu CCM kwa ujinga wa wanasiasa wa upinzani? Mbowe ndiye wa kulaumiws kwa jinsi anavyokiendesha chama kama Mbowe discotheque ama bilicanas. Aanze kuwasikiliza watu wake afanye mabadiliko makubwaCCM nzima imekosa mtu was busara. Jizee kama hili jinga kabisa linafikiria kufuta upinzani badala ya kuuimarisha. Bahati mbaya mashetani kama Mangula hayafi haraka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijaelewa chochote mkuu. Ndiyo sababu kubwa cdm na upinzani hamutaweza kushinda sababu mtu akiwakosoa mna assume ni ccm. Hamjui katika nchi kama hii ninayoishi wstu i independent wsnanyenyekewa na kila chama sababu kikubwa kwao ni sera na si Ideology.ushaelewa ila umeamua kufa na tai shingoni
Sasa kama mpaka mgombea wenu wa urais ananunuliws hicho kweli ni chama?Kama una kifua nitapenda kukuwekea hadharani pesa inavyolipwa na ccm ili kuwanunua wasaliti , wala siyo siri ! na hapo ndio utakaposhang'aa na kusikitika kuendelea kuitumikia ccm huku wasaliti wakipiga pesa na nyie wafia chama mkiendelea kutoka jasho la kwapa
Wstu waliokuwa wapinzani wa kweli kama kina Lipumba na Silaa mliwakatisha tamaa mpaka na wao wakaamua kusema bora liende. Lipumba kanyanyaswa na kupigwa na policcm miaka 20 halafu linakuja jitu kutoka ccm mnalilamba makalio unadhani hata kama ningekua mimi ningefanyaje?Unailaumu CCM kwa ujinga wa wanasiasa wa upinzani? Mbowe ndiye wa kulaumiws kwa jinsi anavyokiendesha chama kama Mbowe discotheque ama bilicanas. Aanze kuwasikiliza watu wake afanye mabadiliko makubwa