Kama nitafuata huu ushauri nitaomba rikizo bila malipo kwanza nisome mchezo kabla sijaamua kuumpa mkulugenz pesa za bureAchana hiyo ajira ya porini biashara yako ukimuachia mtu hata huyo mke itakufa na ndoa ya mbali sio ndoa.
Hakuna jipya huko watu wanaacha kazi na hawana hata mia ili waje kujitafuta town wewe ndio unataka kwenda huko. Shauri yako ukienda baada ya muda utajuta.
Kuhama ni ngumu sana hasa kutoka vijijini kuja mjini na hasa kwa mwanaume hata kama ukitimiza miaka 3. Hata ukitoa hela italiwa bure kwa sababu zoezi la kuhams linahusisha watu wengi na ni kwenye mifumo.
Kuwa makini usiende kupata sonona huko bure. Kila la heri.
Haya ndio yalikuwa malengo yangu sema ajira imewahi kunifikia kabla sijaset mipango vizuriKwanza mkuu jenga biashara inayojiendesha yenyewe haitegemei uwepo wako utakuwa na uhuru wa kuajiriwa lakn kama pote panakuhitaji chagua biashara
Kama nitafuata huu ushauri nitaomba rikizo bila malipo kwanza nisome mchezo kabla sijaamua kuumpa mkulugenz pesa za bure
Haya ndio yalikuwa malengo yangu sema ajira imewahi kunifikia kabla sijaset mipango vizuri
Ndo useme wewe ambae umefanikisha kujenga kupitia biashara na kuwa na maisha mazuriBiashara nzuri ipoje mkuu
Sijajua humu ili uwe na biashara unatakiwa uwe na biashara ya aina gani na yenye mtaji kiasi gani. Ila kwangu mimi biashara niliyoijenga kwa miaka 7 sasa ni kubwa kuliko hizo ambazo mnataka nyie hata kama ni yakuuza mitumbaMimi na mashaka na hiyo biashara yako unayosema kama ingekuwa kweli ni kubwa sidhani kama ungetamani kwenda kuwa mwalimu huko vijijini uache biashara nzuri ipotee.
Likizo bila malipo umeshakuwa umtumishi halali wa pale. Ni mpaka uthibitishwe kazini kitu kitakacho chukua zaidi ya mwaka na nusu hiyo biashara itakuwa bado hai kweli. Na hata ukithibitishwa unaweza kukubaliwa hiyo likizo au usikubaliwe na ukikubaliwa wakati wa kurudi wataangalia kama wanakuhitaji au laa je kama washapata mwingine sio wanakuacha.
Mimi na mashaka na hiyo biashara yako unayosema kama ingekuwa kweli ni kubwa sidhani kama ungetamani kwenda kuwa mwalimu huko vijijini uache biashara nzuri ipotee.
Kama umezoea life la mjini, kijijini utaacha ndala mkuu.Hapo kwenye kuhama ndio kipengele but ngoja nione ahsante mkuu kwa ushauri
Sio kirahisi hivyo Dar to machakani huko ni mwendo wa siku mbili yaani masaa 28 na nauli ya kwendaKama umezoea life la mjini, kijijini utaacha ndala mkuu.
Kitakachofuata hapo utabobea kwenye utoro maana utakuwa haukauki kwa mkeo na kwenye biashara yako.
Ni machakani sana?Sio kirahisi hivyo Dar to machakani huko ni mwendo wa siku mbili yaani masaa 28 na nauli ya kwenda
Unaomba ushauri wa aina gani kama jibu tayari unalo? Do what benefits you the most, ajira zipo tu, lakini kwenye kujiajiri unajipangia income yako mwenyewe kutokana na your level of investment.Wakuu nilikuwa na mtanziko wa muda mrefu kuhusu nini ni-priotize katika maisha yangu biashara au ajira au vyote kwa pamoja. Muda wote huo nilikuwa nikifanya biashara ambayo ilinifanikisha kujenga nyumba mbili na kununua viwanja kadhaa mjini (Dar) na mkoani, lakini pia niliweza kutanua wigo kwa kuanzisha vitengo kadhaa mbali na biashara mama
Nilikuwa napiga kazi sana lakini nikiwa najisemea ajira iwe lengo langu la mwisho kama kazi ya kula penshen nikiwa mambo kadhaa ya kibiashara nishayaweka sawa. Sasa nilikuwa kila zikitangazwa ajira (ualimu) nilikuwa nikiomba lakini sitilii maanani kwenye usaili kwa maana nilikuwa na sitaki nataka, sasa bana kuna hizi za october mwaka jana nikafanya hatimae nikapita oral na juzi nikapangiwa kituo aiseeeh moyo ulifanya paah!!
Hasa nikifikiria ni namna gani nitaweza ku-handle biashara na ajira kwa pamoja, hadi sasa sijaenda kuripoti dilema niliyokuwa nayo imenifikia nisijue nini kinafuata mbaya zaidi nimepangwa mbali hukoo na machakani na kuomba uhamisho ni within three years muda ambao nikicheza biashara zangu ambazo nafanyia dar zitakuwa matatani, dilema dilemani nipo gwaa nawaza what next
Unanishauri nini mdau natanguliza shukrani
Kuna watu wameajiriwa huku niwafanya biashara ndio naomba kwao ushauri piaUnaomba ushauri wa aina gani kama jibu tayari unalo? Do what benefits you the most, ajira zipo tu, lakini kwenye kujiajiri unajipangia income yako mwenyewe kutokana na your level of investment.
Ni kweli ngoja nione with time kila kitu kitakaa sawaHiki ndo kipindi usipokuwa makini unapotea, na utatumia miaka mingi kidogo kukaa sawa, kuwa makini Sana, Ushauri wangu amini Sana Ile akili ya mwanzo au wazo la Kwanza kabisa lile ndo sahihi