Baada ya dilema ya muda mrefu sasa yametimia nilichokuwa nakiwaza kimetokea nini kinafuata sijui

Kuna watu wameajiriwa huku niwafanya biashara ndio naomba kwao ushauri pia
Kinachotegemea ni kama ajira itakupa muda wa kuendesha mambo yako pembeni kama biashara. Kwa watumishi walio vijijini ni rahisi sana kujishugurisha na mambo mengine tofauti na mijini ambapo afisa utumishi wako yupo next door from your chair.😊
Hongera kwa kuwa na mawazo positive ya kukuza kipato chako mkuu
 
Yah nikiweza kubalance biashara na kazi itakuwa poa ila nikiona uwezekano hamna nitabaki na biashara
 
Back
Top Bottom