mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Bashiru asimfokee Kigwangala.
Ndiyo maana Chadema wanasisitiza Uhuru, Haki na Maendeleo
chorus: tumeibiwa kura
Safi sana. CCM ni taasisi siyo Kama vile vuama vya wahuni Kama chadema na wengineoalilolifanya Bashiru leo inaonesha jinsi gani chama mapinduzi kimekomaa kimaadili najinsi wanvyoheshimu madaraka ya kila mmoja wao kwenye uongozi wa chama hicho
mimi ninawapongeza wanachama wa chama hicho wote hasa kwa HK mwenyewe baada ya kutoka hadharani kwenye mtandao wa twitter na kukiri kupokea maelekezo hayo na kuyatii licha ya umaarufu wake
that is great
Mnaogopa kumkwaza bilionea anaweza kiwafanya mkose kura. Kuweni wakweli tu.Sasa unaangalia na wakat,
Kipnd hiki chama kinapga kampeni ww ujadili vp mambo ya taasisi nyengne
Hivi kwanini Wasukuma wengi na wanyamwezi wana mambo ys hovyo hovyo?Kigwangala ni Bashite part two
Mnaogopa bilionea anaweza kuwakosesha kura. Ccm mwaka huu mmebanwa sanaKuchat c angechat inbox huko,
Acha kuchanganya mambo
wapangiwe mara ngapi mkuu?Watapangiwa mpaka ratiba za kulala na wake zao.
KAULI MBIU HII YA UHURU, HAKI NA MAENDELEO NI TAMU SANA. LKN BAHATI MBAYA WANAOISISITIZA WAO HAWAITEKELEZI. CHADEMA HAKUNA UHURU, NI ZIDUMU FIKRA ZA MBOWE. UKITOFAUTIANA NAYE WEWE UNAITWA MSALITI. CHADEMA HAKUNA HAKI YA KUHOJI MAMBO MUHIMU KAMA MATUMIZI YA FEDHA ZA CHAMA. CHADEMA HAKUNA MAENDELEO NDO MAANA HAWAJAJENGA HATA OFISI MOJA TOKA KIANZISHWE CHAMA LICHA YA KUPATA RUZUKI YA ZAIDI SHS MILIONI 330 KILA MWEZI. KWA HIYO WANACHOKISEMA NA WANACHOKIFANYA NI TOFAUTI.Bashiru asimfokee Kigwangala.
Ndiyo maana Chadema wanasisitiza Uhuru, Haki na Maendeleo
Kigwangalla amepita bila kupingwa Sasa. Haya ndiyo chama Cha Bashiru kinayataka
That is a logical non sequitur.Naona unaumia sanaa
HayatuhusuDr Kigwangalla amesema Katibu mkuu wa CCM ni boss wake hivyo anatii agizo alilopewa la kuacha mara moja kulumbana na Mo Dewji na badala yake ajikite kwenye kampeni za chama.
Tayari Dr Kigwangalla ameanza kupost picha za mikutano ya kampeni za Dr Magufuli katika ukurasa wake wa twitter kama alivyoagizwa na Katibu mkuu.
Maendeleo hayana vyama!