Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Yaani unamaanisha TBC ina pesa kuliko Azam, company yenye brand nyingi Tanzania?Tbccm wao wataonyesha 32 kwa bure....Azam hana hela hio
[emoji23][emoji23] azam tv hana huo ubavu, labda startimes
Kwanini Azam ashindwe kuonyesha World Cup?Option ni startimes tu
Azam hana huo ubavu kama mechi itaonyeshwa ni moja kwa siku tene vituo vya nje
Mfano k24 ya kenya na nyingne kupitia
We ngoja muda ufike utashangaa mwenyewe.Kwanini Azam ashindwe kuonyesha World Cup?
Hawajaamua kuonyesha au hawamudu gharama za kuonyesha World Cup?We ngoja muda ufike utashangaa mwenyewe.
Tungoje mahakama ya muda iamue ingawa sitegemei jipya kwao as usual. Japokuwa jambo hukawia, lakini hufika.
Azam magumashi mengi.
Binafsi sijawahi kujua mkuu, pengine nahisi ni issue ya cost zaid.Hawajaamua kuonyesha au hawamudu gharama za kuonyesha World Cup?
Gharama za kuonyesha world cup ni kiasi gani mpaka ufikie conclusion hiyo?Binafsi sijawahi kujua mkuu, pengine nahisi ni issue ya cost zaid.
Financially, Dstv & Startimes wana uwezo kuliko Azam.
Wataonyesha kwa rights zipi wakati tayari Dstv ndiyo mwenye hiyo haki?Dstv jana wamezindua ofa yao ya kombe la dunia ambapo ili uone mechi zote 64 mubashara utahitaji ulipe kifurushi cha Compact ambacho ni shilingi 56,000.
Ndugu zetu, wazalendo wenzetu AzamTv huu ndio muda wenu wa kuibuka na kututangazia Watanzania kuwa mtaonesha kombe la dunia kwa bei nafuu.
AzamTv amkeni kutoka kwenye usingizi mzito njooni mjichukulie point 3 muhimu
Rudia tena nilipoandika.Gharama za kuonyesha world cup ni kiasi gani mpaka ufikie conclusion hiyo?
unadhania ni rahisi hivyo?kwa kusini mwa jangwa la sahara dstv ndio mwenye haki kubwa ya kuonyesha michuano mikubwa mikubwa ya mpira wa mguu,pamoja na CANAL+,hivyo usifikilie tu kuwa ni suala la kukurupuka tu!!Azamu atapewa haki za kuonyesha baadhi ya mechi tu na sio zoteDstv jana wamezindua ofa yao ya kombe la dunia ambapo ili uone mechi zote 64 mubashara utahitaji ulipe kifurushi cha Compact ambacho ni shilingi 56,000.
Ndugu zetu, wazalendo wenzetu AzamTv huu ndio muda wenu wa kuibuka na kututangazia Watanzania kuwa mtaonesha kombe la dunia kwa bei nafuu.
AzamTv amkeni kutoka kwenye usingizi mzito njooni mjichukulie point 3 muhimu
sio kwamba ana kataa,bali ni utaratibu wa kibiashara,tu duniani kote,mbona hapa azam hataki wengine waonyeshe ligi kuu?kwani wameweka pesa nyingi sana,kupata haki hiyo sasa yeye atairudisha vipi kama kila mtu ataonyesha?Mikataba ya DSTV. Hawataki mwengine aoneshe.