Baada ya DSTV kujichanganya kwa bei kubwa ya World Cup, AzamTv ni nafasi yenu hii kututangazia World Cup bei chee

Baada ya DSTV kujichanganya kwa bei kubwa ya World Cup, AzamTv ni nafasi yenu hii kututangazia World Cup bei chee

Mbona mnatumia maneno magumu sana, tumieni ya kawaida na wengine tuelewe
Hahahaa-Bombastic words kujenga hoja nyepesi.

Using bombastic words to make a simple point is unprofessional, because they don't add any weight rather confusions.

Forum ina watu wengi sana, kikubwa ni kuvumilia mkuu.
 
We ngoja muda ufike utashangaa mwenyewe.

Tungoje mahakama ya muda iamue ingawa sitegemei jipya kwao as usual. Japokuwa jambo hukawia, lakini hufika.

*Dstv kuonyesha mechi zote ni 100%
*Startimea kuonyesha zote ni 95%
*Azam kuonyesha mechi zote ni 5%

Azam magumashi mengi.
Yani azam awe magumashi kuliko startimes? Bro umetumia kilevi gani? Azam ndo mshindani wa Dstv kwa hapa Tz
 
Watakaoonyesha ni hao hao Dstv upo mwaka Star time wanaingia hapa Tanzania walitupangisha foleni hapo makumbusho TBC kufata ving'amuzi wakijinadi wataonyesha WC kumbe ilikua magumashi kwa sisi watu wa Mpira tupo na hao mabeberu dstv bila kusubiri sanaa za wengine..
 
Hahahaa-Bombastic words kujenga hoja nyepesi.

Using bombastic words to make a simple point is unprofessional, because they don't add any weight rather confusions.

Forum ina watu wengi sana, kikubwa ni kuvumilia mkuu.
Really funny, you had to edit that.

Words are words, there's no such thing as bombastic sababu kila neno lilitungwa ili litumike, hivyo kushindwa kuelewa maana ya neno inaexplain uwezo wako hafifu kwenye lugha husika. Nje ya hapo I'd call that a pathetic justification or excuse in your case.

Kumbe kweli ulishindwa kunielewa.
 
Kwasababu anakuonyesa NBC league, au ulitaka kumaanisha nini unaposema Azam ni mshindani wa DStv?[emoji23]
Azam anatuonyesha ligi ya France League 1 tunaiona PsG ya kina Neymar&Messi, azam anatuonyesha Bundesliga tunaiona Bayern Munich ya kina Sadio Mane, Dortmund na mechi kibao kila wiki, bado azam anaonyesha ligi ya ndani NBC bado azam anaonyesha mechi moja ya Epl bure kila jumamosi, lakini bado Pia tunayaona mashindano ya CAF
Huyo ndo mshindani halisi wa Dstv hapa Tz startimes ni takataka mbele ya azam, mtu mwenye akili timam hawezi kwenda kununua startimes kwa matarajio ya kupata burudani zaid ya burudani inayotolewa azam
 
Really funny, you had to edit that.

Words are words, there's no such thing as bombastic sababu kila neno lilitungwa ili litumike, hivyo kushindwa kuelewa maana ya neno inaexplain uwezo wako hafifu kwenye lugha husika. Nje ya hapo I'd call that a pathetic justification or excuse in your case.

Kumbe kweli ulishindwa kunielewa.
Uandishi wako ni wa kawaida sana, sana. Kutumia maneno magumu kwenye vitu vidogo ni alama ya udhaifu. Huwezi kutumia maneno magumu alafu ukashindwa kuelewa vitu basic kabisa na kuvijengea hoja- hapa ndo napokubaliana na wajenga hoja ya kwamba maneno magumu mara nyingi hutumika kuficha udhaifu.

Point to note- Aliyelalamika habari ya maneno magumu ni mwengine ila katumia diplomatic language.
 
Back
Top Bottom