Uandishi wako ni wa kawaida sana, sana. Kutumia maneno magumu kwenye vitu vidogo ni alama ya udhaifu. Huwezi kutumia maneno magumu alafu ukashindwa kuelewa vitu basic kabisa na kuvijengea hoja- hapa ndo napokubaliana na wajenga hoja ya kwamba maneno magumu mara nyingi hutumika kuficha udhaifu.
Point to note- Aliyelalamika habari ya maneno magumu ni mwengine ila katumia diplomatic language.
Then obviously you're uncultivated, watu wanaosoma vitabu ni kawaida kukuta uncommon words na wanaofuatilia mijadala ya watu wakubwa wenye elimu kubwa ni kawaida sana kuona wakitumia uncommon words, Na sio maneno magumu bali ni high vocabulary.
Sababu maneno hayo yanasaidia kuchanganua points, hoja, facts ngumu zisizoelezeka more coherently and edifyingly. The high the vocabulary, the high the comprehension. Means wewe hautoweza survive in a professional or cultivated debates au arguments.
Tatizo sio mimi kushindwa kuelewa bali tatizo ni wewe kushindwa kunielewa mimi mpaka kuja na majibu unrelated kwenye topic. na ndio maana nikakwambia "not my problem."
I personally indulge cultivated and sophisticated debates or arguments, na ndio maana sioni chochote cha ajabu hapa. Kama ungekutana na Ben Shapiro, Neil Neil deGrasse au Jordan Peterson basi ungepata kigugumizi kabisa na kutoka kapa. Kwa watu wa aina hiyo sijui utasema wana udhaifu wa aina gani, I don't know.
Unasema aliyelalamika maneno magumu ni mwengine yet umejibu wewe, mpaka hapo hauni kwamba hicho kitu kimekugusa that's why umekuwa provoked kujibu?
Hivi unaelewa kitendo cha kusema "nimetumia maneno magumu" ni clearly unaconcede kwamba hata wewe unaona maneno niliyotumia ni magumu?
Considering I'm an author... Or let me say a book writer. Naandika mamia ya pages za vitabu kwa English. Nice addition.
I'm discerning an unnecessarily subtle agitation. I highly doubt utaweza kujibu hii post.