Baada ya DSTV kujichanganya kwa bei kubwa ya World Cup, AzamTv ni nafasi yenu hii kututangazia World Cup bei chee

Baada ya DSTV kujichanganya kwa bei kubwa ya World Cup, AzamTv ni nafasi yenu hii kututangazia World Cup bei chee

Kombe la dunia na lenyewe ni premium? Hili si huwa linakuwa la wazi hata youtube linastrimika? Au mambo yamebadilika? ITV alikuwa anaonesha UEFA, Uero, World Cup, Afcon nk ,sijui ilikuaje akawaachia hao wengine ambao ni wachanga wampoteze
Ni kweli. Zamani kabla DSTV hajaingia nakumbuka ligi kuu ya Uingereza, Champions Leaque etc tulikuwa tunaangalia bure ITV. Kipindi hicho Arsenal ndiyo ilikuwa moto kweli kweli. Lakini mpaka sasa kombe la dunia mechi nyingi ni bure na huwa zinarushwa na TV za serikali au bure za nchi husika.
 
Mwisho wa siku serikali itaingilia kati na watanzania watashuhudia world cup buree kupitia free to air channels.

Kama huamini, wewe subiri uone nguvu ya wanasiasa.
Ni policy ya FIFA kuonyesha kombe la dunia bure kwa watu wengi kadiri iwezekanavyo. Hivyo TV ya taifa ni lazima itaonyesha. Serikali haina nguvu yoyote kwenye rights za TV na hata wakisema ndiyo wameingilia ikaonyeshwa basi watakuwa wanadanganya.
 
Ni biashara kama biashara nyingine, muda wa michezo inayofuatiliwa na watu wengi ndio muda wa kupiga mpunga...

Nchi nyingine huko wana utaratibu kama PPV au VoD, unalipia kitu unachotaka kukitazama iwe ni mechi au movie n.k
 
Ni kweli. Zamani kabla DSTV hajaingia nakumbuka ligi kuu ya Uingereza, Champions Leaque etc tulikuwa tunaangalia bure ITV. Kipindi hicho Arsenal ndiyo ilikuwa moto kweli kweli. Lakini mpaka sasa kombe la dunia mechi nyingi ni bure na huwa zinarushwa na TV za serikali au bure za nchi husika.
Nakumbuka miaka ya 2002 niilikuwa naangalia EPL na UEFA kupitia channel ten, sijui kilibadilika nini
 
Uandishi wako ni wa kawaida sana, sana. Kutumia maneno magumu kwenye vitu vidogo ni alama ya udhaifu. Huwezi kutumia maneno magumu alafu ukashindwa kuelewa vitu basic kabisa na kuvijengea hoja- hapa ndo napokubaliana na wajenga hoja ya kwamba maneno magumu mara nyingi hutumika kuficha udhaifu.

Point to note- Aliyelalamika habari ya maneno magumu ni mwengine ila katumia diplomatic language.
Then obviously you're uncultivated, watu wanaosoma vitabu ni kawaida kukuta uncommon words na wanaofuatilia mijadala ya watu wakubwa wenye elimu kubwa ni kawaida sana kuona wakitumia uncommon words, Na sio maneno magumu bali ni high vocabulary.
Sababu maneno hayo yanasaidia kuchanganua points, hoja, facts ngumu zisizoelezeka more coherently and edifyingly. The high the vocabulary, the high the comprehension. Means wewe hautoweza survive in a professional or cultivated debates au arguments.
Tatizo sio mimi kushindwa kuelewa bali tatizo ni wewe kushindwa kunielewa mimi mpaka kuja na majibu unrelated kwenye topic. na ndio maana nikakwambia "not my problem."
I personally indulge cultivated and sophisticated debates or arguments, na ndio maana sioni chochote cha ajabu hapa. Kama ungekutana na Ben Shapiro, Neil Neil deGrasse au Jordan Peterson basi ungepata kigugumizi kabisa na kutoka kapa. Kwa watu wa aina hiyo sijui utasema wana udhaifu wa aina gani, I don't know.

Unasema aliyelalamika maneno magumu ni mwengine yet umejibu wewe, mpaka hapo hauni kwamba hicho kitu kimekugusa that's why umekuwa provoked kujibu?
Hivi unaelewa kitendo cha kusema "nimetumia maneno magumu" ni clearly unaconcede kwamba hata wewe unaona maneno niliyotumia ni magumu?

Considering I'm an author... Or let me say a book writer. Naandika mamia ya pages za vitabu kwa English. Nice addition.

I'm discerning an unnecessarily subtle agitation. I highly doubt utaweza kujibu hii post.
 
Yani azam awe magumashi kuliko startimes? Bro umetumia kilevi gani? Azam ndo mshindani wa Dstv kwa hapa Tz
Coverage na financial capacity ya Startimes media kwa Africa yote huwezi fananisha na Azam utaonekana kichaa.

Hoja haijawa confirned Tanzania, ila uwezo wa kampuni kwa ujumla kuweza kumudu kununua haki za matangazo.
 
Yan kuna watu wanajisahau kabisa wanalinganisha azam na Dstv, Dstv ni lijitu likubwa Sana Dstv n kampuni kubwa duniani s Africa tu huwez ukafananisha na azam, Dstv ana uhakika wa kuonesha kila match ila azam Hana uhakika huo wa kuonesha kila match
 
Unakosea mkuu,

Nimesema total bidding ya Qatar kuweza kuhost hayo mashindano. Jikite argument zako kwenye vilivyoandikwa otherwise hatuwezi kuwa na constructive argument.
Huyo mtoa mada namuona Kama mtoto mdogo, harafu anauliza maswali uenye kulazimisha huja yake iwe sahihi!!
 
Coverage na financial capacity ya Startimes media kwa Africa yote huwezi fananisha na Azam utaonekana kichaa.

Hoja haijawa confirned Tanzania, ila uwezo wa kampuni kwa ujumla kuweza kumudu kununua haki za matangazo.
I see, high vocabulary is a national problem. Hauwezi kujibu kuogopa predicaments.
 
Mkuu,

Huko shule ulienda kusoma au kuuza maandazi?

Unajenga hoja kama mtoto. Tafuta level hizo mtaelewana. Otherwise mimi sioni cha maana kutoka kwako zaidi ya GUBU.
Nah! shule sikwenda kuuza maandazi bali nilienda kutafuta watoto wakali.
Ngoja nikacheck picha za watoto wazuri while getting some cold beer.

I'm outta here!
 
Azam anatuonyesha ligi ya France League 1 tunaiona PsG ya kina Neymar&Messi, azam anatuonyesha Bundesliga tunaiona Bayern Munich ya kina Sadio Mane, Dortmund na mechi kibao kila wiki, bado azam anaonyesha ligi ya ndani NBC bado azam anaonyesha mechi moja ya Epl bure kila jumamosi, lakini bado Pia tunayaona mashindano ya CAF
Huyo ndo mshindani halisi wa Dstv hapa Tz startimes ni takataka mbele ya azam, mtu mwenye akili timam hawezi kwenda kununua startimes kwa matarajio ya kupata burudani zaid ya burudani inayotolewa azam

Ww unadhani burudani ni mpira tuu
 
Wewe ni arrogant na huna uelewa wa aina yoyote katika exclusive rights za kurusha matangazo ya televisheni. Unajua haki utolewa kwa masharti gani? Nikikuuliza kwanini StarTimes na Dstv hawaonyeshi ligi kuu Tanzania sijui utajibu nini
Hiyo haiwezi sababisha company kubwa kama Azam kushindwa kulipia.
I would say tourism is a big pocket.
 
Hawa jamaa wakishakunywa juisi cola na ukwaju wanadhani Azam ni brand kubwa. Hata top 20 ya brands kubwa Afrika sikumbuki kuiona SSB wala MeTL. Wanadhani rights za kuonyesha WC zinatolewa kampuni moja moja kila nchi
Unajua Startimes ana opserate nchi ngapi Afrika? Startimes sio Entity ya Tanzania tuu. na ana possibility ya kuonyesha kuliko azam
 
Back
Top Bottom