Kwan unajua pesa ya uendeshaj wa TBC inatoka wap mpk azidiwe pesa na azam?Yaani unamaanisha TBC ina pesa kuliko Azam, company yenye brand nyingi Tanzania?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwan unajua pesa ya uendeshaj wa TBC inatoka wap mpk azidiwe pesa na azam?Yaani unamaanisha TBC ina pesa kuliko Azam, company yenye brand nyingi Tanzania?
Technically kapandisha bei kwa watu wa vifurushi vya chini, sababu pool ya watu walioko kifurushi cha chini wanakuwa forced kuhamia compact.huyu hajApandisha ila amehamishia compact
As long as umemention "access" basi clearly tatizo sio affordability bali ni advertently business margins nonexpansion.TV za taifa zinapewa access ya kuonyesha baadhi ya mechi, ila siyo zote, by default.
Hiyo haiwezi sababisha company kubwa kama Azam kushindwa kulipia.Wewe unadhan ROI ya Qatar inarudije? Au unafikiri havina mahusiano na subscription fees, haki za matangazo, nk. ?
Sijui, kwani zinatoka wapi?Kwan unajua pesa ya uendeshaj wa TBC inatoka wap mpk azidiwe pesa na azam?
Sasa mkuu naona unataka tuanze kueleweshana basic things (101 Course). Kama huwezi ku-establish correlation ya vitu I have nothing more to add.As long as umemention "access" basi clearly tatizo sio affordability bali ni advertently business margins nonexpansion.
Sasa mkuu naona unataka tuanze kueleweshana basic things (101 Course). Kama huwezi ku-establish correlation ya vitu I have nothing more to add.
Mbona mnatumia maneno magumu sana, tumieni ya kawaida na wengine tueleweUlimention financial inabilities na nilichotumia ni comprehendible coherent articulation, kitu ambacho ulishindwa.
So not my problem.
Hahahaa-Bombastic words kujenga hoja nyepesi.Mbona mnatumia maneno magumu sana, tumieni ya kawaida na wengine tuelewe
Yani azam awe magumashi kuliko startimes? Bro umetumia kilevi gani? Azam ndo mshindani wa Dstv kwa hapa TzWe ngoja muda ufike utashangaa mwenyewe.
Tungoje mahakama ya muda iamue ingawa sitegemei jipya kwao as usual. Japokuwa jambo hukawia, lakini hufika.
*Dstv kuonyesha mechi zote ni 100%
*Startimea kuonyesha zote ni 95%
*Azam kuonyesha mechi zote ni 5%
Azam magumashi mengi.
Kwasababu anakuonyesa NBC league, au ulitaka kumaanisha nini unaposema Azam ni mshindani wa DStv?[emoji23]Yani azam awe magumashi kuliko startimes? Bro umetumia kilevi gani? Azam ndo mshindani wa Dstv kwa hapa Tz
Kumbe mkuu, kama unadhani natumia maneno magumu basi hujawahi ona nguli wa debates akiwemo psychologist Jordan Peterson.Mbona mnatumia maneno magumu sana, tumieni ya kawaida na wengine tuelewe
Really funny, you had to edit that.Hahahaa-Bombastic words kujenga hoja nyepesi.
Using bombastic words to make a simple point is unprofessional, because they don't add any weight rather confusions.
Forum ina watu wengi sana, kikubwa ni kuvumilia mkuu.
Vp kwa nchi kama Nigeria yenye watu zaidi ya 200m+Kwa Africa nadhani dstv ni giant kwenye urushaji wa mipira live, pia ana wateja wengi ambao wanafikia milion 22 africa nzima, huku South Africa pekee ikiwa na wateja milioni 9.
Ubongo unapenda starehe😂😂Mbona mnatumia maneno magumu sana, tumieni ya kawaida na wengine tuelewe
Kombe la dunia siyo fedha ina-matter. Ninachojua TV za serikali kila nchi zinapewa offer ya kuonyesha bure.Yaani unamaanisha TBC ina pesa kuliko Azam, company yenye brand nyingi Tanzania?
Azam anatuonyesha ligi ya France League 1 tunaiona PsG ya kina Neymar&Messi, azam anatuonyesha Bundesliga tunaiona Bayern Munich ya kina Sadio Mane, Dortmund na mechi kibao kila wiki, bado azam anaonyesha ligi ya ndani NBC bado azam anaonyesha mechi moja ya Epl bure kila jumamosi, lakini bado Pia tunayaona mashindano ya CAFKwasababu anakuonyesa NBC league, au ulitaka kumaanisha nini unaposema Azam ni mshindani wa DStv?[emoji23]
Uandishi wako ni wa kawaida sana, sana. Kutumia maneno magumu kwenye vitu vidogo ni alama ya udhaifu. Huwezi kutumia maneno magumu alafu ukashindwa kuelewa vitu basic kabisa na kuvijengea hoja- hapa ndo napokubaliana na wajenga hoja ya kwamba maneno magumu mara nyingi hutumika kuficha udhaifu.Really funny, you had to edit that.
Words are words, there's no such thing as bombastic sababu kila neno lilitungwa ili litumike, hivyo kushindwa kuelewa maana ya neno inaexplain uwezo wako hafifu kwenye lugha husika. Nje ya hapo I'd call that a pathetic justification or excuse in your case.
Kumbe kweli ulishindwa kunielewa.