Baada ya elimu kushindwa kutatua tatizo la ajira, wanawake wengi wanaona mfumo wa haki Sawa ufutwe

Baada ya elimu kushindwa kutatua tatizo la ajira, wanawake wengi wanaona mfumo wa haki Sawa ufutwe

Robert Heriel Mtibeli

Platinum Member
Joined
Mar 24, 2018
Posts
40,153
Reaction score
93,069
Hamjambo!

1. Ni Ajira za kuajiriwa ndizo ziliwapa kiburi dada zetu.

2. Ni baada ya kuona wakisoma baadaye wataajiriwa na kulipwa Malaki Kwa mamilioni ya pesa. Wakaona watakuwa independent na hawatakuwa na haja ya mwanaume.

3. Kumbuka ajira kama ualimu, udaktari, uanasheria, uhasibu, n.k. nyingi hautumii nguvu na zinafanywa kivulini.

4. Kisaikolojia wanawake hawapendi KAZI. Na kama wapo wanaopenda basi ni zile KAZI nyepesi za kivulini zisizotoa jasho.

5. Miongo 4 takribani miaka 40 elimu ya darasani ilitegemewa kumkomboa mwanamke na kumfanya ajitegemee.

6. Lakini kimsingi ni elimu ya kuajiriwa.
7. Waliofanikiwa kusoma wakapata kazi matunda waliyapata na Uhuru wanao.

8. Lakini ulikuwa Uhuru na kujitegemea kwenye mtego mbaya mbeleni. Ambapo kumbe mbele lilikuwepo shimo refu.

9. Tayari wanaume washaonja Raha ya kuwa na wanawake wasiomizigo(tegemezi).

10. Wanawake nao wamesoma kazi hawana. Kufanya kazi ngumu ni kipengele.

11. Vijana hawataki kuoa wanawake tegemezi tena. Wanataka independent woman.

12. Hakuna mwanamke anayependa kupika maandazi, kutembeza matembele, na kufanya kazi za jasho.

13. Wameshafika point of no return. Mbele shimo nyuma hakurudiki.

14. Lazima watumbukie tuu.
15. Ni ukweli wa hakika wanawake wengi hawana uwezo wa kutengeneza utajiri wao wenyewe kama hawajaajiriwa.

16. Kama hawatapata sapoti ya mwanaume asilimia 99 ya wanawake wakisema wapige battle to battle from zero income. Hawana uwezo kuwa kufikisha milioni moja kwa mwezi maisha yao yote.

17. Tafiti zangu zinaonyesha kwa sasa wanawake wanaona ni Bora wajisalimishe kwa wanaume kama ilivyokuwa mwanzoni.

18. Ujeuri wao umekwisha. Janga la ajira na elimu Fake limerudisha mambo kwenye sehemu yake.

19. Asilimia kubwa ya wanawake wanaosema wanajiweza utacheka sana. Kipato Chao hakifiki laki tano. Wengi wanachezea 150k - 300k.
Hawa ndio utakuwata wengi mtandaoni wakijitamba.

20. Kiasi Hiko ni kidogo Sana. Sio ajabu asilimia 90% ya wanawake ni Ombaomba(maskini wa kutupa).

21. Mwanamke anayepokea walau kuanzia laki Saba au anayeingiza laki Saba hawezi kuwa hata na mtazamo wa kimaskini(ombaomba).

22. Bahati mbaya, wanataka haki Sawa na kujisalimisha kwa wanaume wakati Kwa upande wa wanaume wamechukulia fursa hiyo kama kuvuja kwa pakacha nafuu kwa mchukuzi.

23. Vijana wengi sasa hawataki kuhudumia kwa msingi uleule uliojengwa kwa miaka 30 sasa ya haki sawa.

24. Tayari wanawake wamewezeshwa. Now wanajiweza kwa nini wanaume wawahudumie?

25. Hapo ndipo vita ilipo. Jambo hili limefanya maisha ya wanawake kuwa magumu Sana na kuteseka sanaa

26. Wanaofurahia mfumo huu ni waliobahatika kuajiriwa kulingana na taaluma zao,
Waliobahatika kupewa mitaji ya biashara na wazazi na waume au wachumba zao.
Walioolewa na wanaume wenye vipato vikubwa na vyakati.

27. Ambao kimahesabu wanawake hao wenye bahati hawafiki asilimia 10% ya wanawake wote nchini.

28. Hii ni kusema kwenye wanawake milioni 35. Ni wanawake 3.5M ndio wanakula maisha na kufurahia Haki sawa.

29. The rest wanahenyeka haswa.

30. Mfumo wa haki Sawa na ufeminism umechangia kwa kiasi kikubwa ongezeko la Single mothers wanaoranda randa na kupigika na maisha.

31. Ubepari unahitaji mfumo wa haki sawa, ufeminist na masingle mother ili kupata watumwa, cheap labour na kuongeza utajiri kwa mabepari.

32. Single mother mwenye watoto wawili aliyetelekezwa Hana ujanja wa kupinga mshahara Mdogo kwani akikataa watoto watakula wapi?

33. Biashara ya real estate kupangisha vyumba inategemea Sana mfumo uliopo.

34. Day care zinategemea single mother Kwa sehemu kubwa na ni biashara ambayo bila single mothers haiwezi kutoboa.

35. Mtoto wa miaka 2-5 anatakiwa akae nyumbani alelewe mamaake. Lakini mfumo uliopo Kwanza unamfanya mwanamke kuwa single mother aliyetelekezwa anayetakiwa kujitafutia kwajili yake na mtoto.

36. Itampasa single mother ampeleke mtoto day care ili yeye atoke akatafute.
37. Pia kwa wale walioolewa lakini kipato kidogo. Mfumo unamhitaji mwanamke naye avuje jasho.

38. Kwa kifupi ni kwamba Haki sawa imezidisha msalaba kwa wanawake na kutupa wanaume ahueni.

Imeisha hiyo.

TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
 
Ukweli ni kwamba uwezo na akili za wanawake ni nusu ya akili za mwanaume japo wengi hawataki kulikubali, mwanamke ana madhaifu mengi ya ku-socialise na public mchanganyiko wengi wanafanya hizo kazi baada ya kushindwa maisha ya ndoa au kukosa ndoa ila mwanamke is designed kua mama wa watoto nyumbani na kufanya kazi ndogondogo za nyumbani zisio kua complicated sana. Ndo akili zao zilivo ukilazimisha sana ni majanga makubwa.
 
Ukweli ni kwamba uwezo na akili za wanawake ni nusu ya akili za mwanaume japo wengi hawataki kulikubali, mwanamke ana madhaifu mengi ya ku-socialise na public mchanganyiko wengi wanafanya hizo kazi baada ya kushindwa maisha ya ndoa au kukosa ndoa ila mwanamke is designed kua mama wa watoto nyumbani na kufanya kazi ndogondogo za nyumbani zisio kua complicated sana. Ndo akili zao zilivo ukilazimisha sana ni majanga makubwa.

Ulichoongea ni ukweli wa miaka yote.
Ila tunasema wanaakili kuwapa moyo tuu. Hata wao wanajua akili zao ziko limited
 
Mimi kauli yangu ni kua mwanamke lake ni jiko na kulea watoto
 
Uandishi wako umebadilika sana kama sio wewe. Ulikuaga unajitamba sana.. mtibeli mala Taikuni mala sijui nini na nini
 
Mwanamke yeyote hana uwezo wa kujitafutia kipato mwenyewe kwa kazi ngumu. Ndio maana wengi wao hukimbilia kuvuliwa chupi kwa pesa kidogo sana ya afu tatu!


Akili ya mwanamke daima hawezi lingana na akili ya mwanaume ni mbingu na ardhi. Mwanamke hata akiwa rais au awe nani hawezi kufanya maamzi yeye kama yeye pasina kuuliza au kupewa maelekezo na mwanaume!
 
Kwa sababu ulikuwa smart.

Kuna mfumo mwingine tena ambao wengi wameuvaa bila kujua. Kumbe mbele kuna shimo.
Kusomesha watoto shule za gharama tangu vidudu(chekechea) wakati uwezo Mdogo.
Huo ni mtego ambao miaka 30 ijayo watu watalia Sana
Hili kila siku kuna memba analikazania lakini kuna watu wamekaza shingo

Peleka mtoto shule ya serikali akajichanganye wenzie wa uswazi wamfundishe maisha.

Kama ndoto yako ni mwanao awe na marafiki wa kishua, kila jumapili mpeleke mlimani city atakutana nao.

Sio kisa wewe hukupata nafasi ya kusoma shule hizo, ulisoma kayumba.

Umeajiriwa basi umepanda panda vyeo, kitambi kimeanza kukutoka, hela za wizi hapa na pale ofisini

Unaanza kujiapiza, ooooh!!! mwanangu hawezi kuishi maisha niliyoishi, hawezi kusoma shule mbovu za serikali
 
Hili kila siku kuna memba analikazania lakini kuna watu wamekaza shingo

Peleka mtoto shule ya serikali akajichanganye wenzie wa uswazi wamfundishe maisha.

Kama ndoto yako ni mwanao awe na marafiki wa kishua, kila jumapili mpeleke mlimani city atakutana nao.

Sio kisa wewe hukupata nafasi ya kusoma shule hizo, ulisoma kayumba.

Umeajiriwa basi umepanda panda vyeo, kitambi kimeanza kukutoka, hela za wizi hapa na pale ofisini

Unaanza kujiapiza, ooooh!!! mwanangu hawezi kuishi maisha niliyoishi, hawezi kusoma shule mbovu za serikali
st kayumba mpeleke mwanao
 
Back
Top Bottom