Baada ya Hayati Magufuli kuombewa Chato, Mwanza nao wanaandaa maombi, binafsi naona haya yanayofanyika baada ya Chato yako kimkakati

Hivi from, Christian perspective, kumuombea mtu aliyekwisha kufa kuna faida gani? Si wanasema ukifa ukiwa hujatubu na kuomba msamaha unaenda motoni au ukiwa tayari unaenda mbinguni...je kuombewa kuna badilisha nini kama Mungu alishafanya maamuzi?
Wakristo wana madhehebu pia wewe naona umeweka general sana,,,hasa wakatoliki wana mambo yao tofauti kabisa na hao wengine,,,mziki ndo unaanza
 
Kwa hiyo wavaa makobozi na nyie ni wafusi wa kristo Asante
Ofcourse yes,we love Jesus(A.S) as a prophet of god in the same as Muhammad (S.A.W).

Too bad for you GALATIANS,Mnamchukua jesus na kumfananisha na mwana wa mungu,kisha mnamtundika msalabani akiwa half naked,huko ni kumdhalilisha na kumtukana...
 
Ofcourse yes,we love Jesus(A.S) as a prophet of god in the same as Muhammad (S.A.W).

Too bad for you GALATIANS,Mnamchukua jesus na kumfananisha na mwana wa mungu,kisha mnamtundika msalabani akiwa half naked,huko ni kumdhalilisha na kumtukana...
kila mtu ana imani yake na maoni yao kuhusu imani za kidini katika imani ya Ukristo, Yesu Kristo anachukuliwa kama Mwana wa Mungu na msalaba unachukuliwa kama ishara ya ukombozi na upendo wa Mungu kwa binadamu. Hata hivyo, ni muhimu kuheshimu imani za wengine na kuepuka kutoa maoni ambayo yanaweza kuumiza au kuvuruga amani.
 
Sukuma gang acheni ujinga. Huyu mungu wenu hata muandike nyuzi za kujaza server yote ya jamiiforums hafufuki.

Na tunarudia tena kusema kuwa "never and never again sukuma gang kurudi ikulu".
 
Kama yesu ni mwana wa mungu kama mnavyosema,na mnaenda mbali zaidi kwa kusema kwamba MARIA MTAKATIFU MAMA WA MUNGU,Tunaomba utuombee...so baba wa mungu ni nani??

So,to say that MUNGU MUUMBA WA MBINGU NA ARDHI ALILALA NA MARIA MTAKATIFU KISHA AKAPATIKANA YESU??

Kama nyinyi wagalatia mmefikia hatua ya kukufuru kiasi hiko kisa tuh mnaona uzao wake yesu ulikuwa wa maajabu kwa kuwa MARIA hakuwahi kukutana kimwili na mwanadamu,je kipi kilikuwa kizito zaidi kati ya kuumba ADAM na kisha kumpulizia pumzi na kisha ubavun mwake akatolewa HAWA na hiko cha MARIA kupata mtoto bila ya kuwa na BABA??

Hamtumii hata common sense MAKAFIRI??
 
Kama huoni Jinsi hii legacy ya JPM inavyotesa watu basi Acha mvua inyeshe

Sent from my Nokia C10 using JamiiForums mobile app
Sidhani, ni mambo ya mitandaoni tu na hisia zisizokuwepo na kama kweli wapo basi ni wajinga. Unateseka na marehemu kwani anachukua fomu ya uraisi? Sababu ipi ya mtu kuteseka?
 
Sukuma gang acheni ujinga. Huyu mungu wenu muandike nyuzi za kujaza server yote ya jamiiforums hafufuki.

Na tunarudia tena kusema kuwa "never and never again sukuma gang kurudi ikulu".
[emoji23] [emoji23] Alikubutua akiwa hai na bado anakubutua akiwa mfu
 
Mleta uzi wewe ndio mdini.
Kanisa likimuombea muumini wake wewe unawashwa nini?
Mwalimu Nyerere haombewi kwa sababu alishaombewa sana na kazi yake imekamilika, sasa yeye ndie anatuombea sisi, yupo mahali pazuri.
 
Mtakuhukumiwa kutokana na matendo yenu.
Hata wakikesha kuomba miaka 100, matendo ya mtenda ndio huamua hukumu yake.
 
Hivi from, Christian perspective, kumuombea mtu aliyekwisha kufa kuna faida gani? Si wanasema ukifa ukiwa hujatubu na kuomba msamaha unaenda motoni au ukiwa tayari unaenda mbinguni...je kuombewa kuna badilisha nini kama Mungu alishafanya maamuzi?
Hayo wanayofanya kama huyaamini, yanakuhusu nini? Pilipili ya shamba inakuwashaje?
Wakatoliki tunaamini umoja wa 1) watakatifu walioko mbinguni tayari; 2) waumini ambao bado wako hapa duniani; na 3) marehemu walioko toharani wakitakaswa kutayarishwa kufika mbinguni. Hayo makundi mawili ya mwisho ndiyo tunayoyaombea. Walioko toharani hatujui watakuwepo huko kwa muda gani. Ndiyo maana tunazidi kuwaombea hata kama ni miaka mia tangu wafariki. Inawezekana kabisa wengine tayari wako mbinguni. Lakini kwa kuwa hatulijui hilo, tunazidi kuwaombea.
Kama wewe unaona huo ni upuuzi, tuache sisi na upuuzi wetu.
 
Baba wa taifa atabaki mmoja tu kama George Washington wengine watasahaulika tu no matter what

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Wewe mbuzi wa Mayai ni muumini wa Imani gani? Unafahamu mfumo wa ibada za Kanisa katoliki? Basi funga domo usizidi kuonyesha ujinga wako hadharani kwa kubadili mambo usiyo na ufahamu nayo.
ROMA LUCUTA CAUSA FINITA
 
Kama huoni Jinsi hii legacy ya JPM inavyotesa watu basi Acha mvua inyeshe

Sent from my Nokia C10 using JamiiForums mobile app
Legacy ya kuua watu!!?...nonsense

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Huwa sipendi sana kubishana mambo ya dini.
Sababu hata nikikuelekeza hayo uliandika hapo hayatakusaidia ni sawa nitakuwa natwanga maji kwenye kinu
Kwa wewe mtoto wa Islamic state.

Na huwa sipendi pia kujaji imani ya mwingine hata nikute mtu anaaabudu ngombe hiyo ni imani yake anavyoabudu.
Kanisa langu sijawahi kusikia tunajadili dini za wengine ila wao wanaacha mafundisho yao na kujadili kanisa letu
ndio maana mmejaa chuki hadi mnavamia makanisa na kufanya fuso mfano yule jamaa wa Zanzibar
Assume ndio mkristu angeingia msikini na kufanya alichokifanya yule jamaa ingekuwaje?? Kama angepona ingekuwa bahati yake
Nimalizie kwa kusemaπŸ‘‡
Waswahili wanasema mti wenye matunda ndio upigwa mawe
Asante
 

Mti wenye matunda ambao unapigwa mawe duniani na kupewa kila aina ya majina mabaya siyo ukristo wala imani nyingine,UISLAM ndiyo dini pekee ambayo inapigwa vita duniani na kuchukiwa na watu waovu wote.

Na hiyo ni kwa sababu uislam umesimama imara kupinga USHOGA,KAMARI,POMBE,DHULMA,RIBA,NDOA ZA JINISA MOJA,UZINZI,KUABUDU MASANAMU na kadhalika.

Mti huo unaosema wewe kuwa unapigwa mawe lini umesimama na kukemea USHOGA??KAMARI,RIBA NA KADHALIKA??

WAO NDIYO WA KWANZA KUSIMAMA NA KUAMRISHA NYINYI WAFUASI WAKE MUWE MBELE KWENYE HAYO MATENDO YA KISHETANI MFANO YA NDOA ZA WASE,NGE...STUKA WEWE ACHA KUKUMBATIA UPOTOFU.
 
Mleta uzi wewe ndio mdini.
Kanisa likimuombea muumini wake wewe unawashwa nini?
Mwalimu Nyerere haombewi kwa sababu alishaombewa sana na kazi yake imekamilika, sasa yeye ndie anatuombea sisi, yupo mahali pazuri.
SASA SHIDA YOTE HIYO MNAYOPATA YA NINI??

ASKOFU WENU GWAJIMA SI ANAFUFUA WAFU??SI MUENDE MKAONGEE NAE AMFUFUE ILI AJE KUENDELEA PALE ALIPOISHIA??

WAGALATIA MNACHEKESHA SANA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…