yellow java
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 1,228
- 2,234
Nakazia hapa.πππππππ
Mkuu umemaliza Uzi ufungwe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakazia hapa.πππππππ
Mkuu umemaliza Uzi ufungwe
Wakristo wana madhehebu pia wewe naona umeweka general sana,,,hasa wakatoliki wana mambo yao tofauti kabisa na hao wengine,,,mziki ndo unaanzaHivi from, Christian perspective, kumuombea mtu aliyekwisha kufa kuna faida gani? Si wanasema ukifa ukiwa hujatubu na kuomba msamaha unaenda motoni au ukiwa tayari unaenda mbinguni...je kuombewa kuna badilisha nini kama Mungu alishafanya maamuzi?
Kwa hiyo haikutosha?Magufuli alipewa Toba kabla ya kufaliki
Ofcourse yes,we love Jesus(A.S) as a prophet of god in the same as Muhammad (S.A.W).Kwa hiyo wavaa makobozi na nyie ni wafusi wa kristo Asante
kila mtu ana imani yake na maoni yao kuhusu imani za kidini katika imani ya Ukristo, Yesu Kristo anachukuliwa kama Mwana wa Mungu na msalaba unachukuliwa kama ishara ya ukombozi na upendo wa Mungu kwa binadamu. Hata hivyo, ni muhimu kuheshimu imani za wengine na kuepuka kutoa maoni ambayo yanaweza kuumiza au kuvuruga amani.Ofcourse yes,we love Jesus(A.S) as a prophet of god in the same as Muhammad (S.A.W).
Too bad for you GALATIANS,Mnamchukua jesus na kumfananisha na mwana wa mungu,kisha mnamtundika msalabani akiwa half naked,huko ni kumdhalilisha na kumtukana...
Kama yesu ni mwana wa mungu kama mnavyosema,na mnaenda mbali zaidi kwa kusema kwamba MARIA MTAKATIFU MAMA WA MUNGU,Tunaomba utuombee...so baba wa mungu ni nani??kila mtu ana imani yake na maoni yao kuhusu imani za kidini katika imani ya Ukristo, Yesu Kristo anachukuliwa kama Mwana wa Mungu na msalaba unachukuliwa kama ishara ya ukombozi na upendo wa Mungu kwa binadamu. Hata hivyo, ni muhimu kuheshimu imani za wengine na kuepuka kutoa maoni ambayo yanaweza kuumiza au kuvuruga amani.
Sidhani, ni mambo ya mitandaoni tu na hisia zisizokuwepo na kama kweli wapo basi ni wajinga. Unateseka na marehemu kwani anachukua fomu ya uraisi? Sababu ipi ya mtu kuteseka?Kama huoni Jinsi hii legacy ya JPM inavyotesa watu basi Acha mvua inyeshe
Sent from my Nokia C10 using JamiiForums mobile app
[emoji23] [emoji23] Alikubutua akiwa hai na bado anakubutua akiwa mfuSukuma gang acheni ujinga. Huyu mungu wenu muandike nyuzi za kujaza server yote ya jamiiforums hafufuki.
Na tunarudia tena kusema kuwa "never and never again sukuma gang kurudi ikulu".
Hayo wanayofanya kama huyaamini, yanakuhusu nini? Pilipili ya shamba inakuwashaje?Hivi from, Christian perspective, kumuombea mtu aliyekwisha kufa kuna faida gani? Si wanasema ukifa ukiwa hujatubu na kuomba msamaha unaenda motoni au ukiwa tayari unaenda mbinguni...je kuombewa kuna badilisha nini kama Mungu alishafanya maamuzi?
Baba wa taifa atabaki mmoja tu kama George Washington wengine watasahaulika tu no matter whatHawa watu wanamuombea JPM kuliko hata Nyerere. Nadhani hii imekaa kimkakati ili kupandikiza hisia za udini katika jamii, hasa ukizingatia hawa jamaa huwa hawaridhiki nchi ikiwa na uongozi tofauti.
Kinamna wanawapanga waumini wao na wanataka kujigeuza jimbo la uchaguzi.
Busara ya kawaida tu inataka kwamba, baada ya taifa na familia kumaliza maombi chato, haingekiwa na haja ya hawa watu kuzinguka nchi nzim, kwa zamu, kwa unafiki, wakijifanya kufanya maombi, wakati ratiba ya Chato walikuwa nayo.
View attachment 2939575
Wewe mbuzi wa Mayai ni muumini wa Imani gani? Unafahamu mfumo wa ibada za Kanisa katoliki? Basi funga domo usizidi kuonyesha ujinga wako hadharani kwa kubadili mambo usiyo na ufahamu nayo.Hawa watu wanamuombea JPM kuliko hata Nyerere. Nadhani hii imekaa kimkakati ili kupandikiza hisia za udini katika jamii, hasa ukizingatia hawa jamaa huwa hawaridhiki nchi ikiwa na uongozi tofauti.
Kinamna wanawapanga waumini wao na wanataka kujigeuza jimbo la uchaguzi.
Busara ya kawaida tu inataka kwamba, baada ya taifa na familia kumaliza maombi chato, haingekiwa na haja ya hawa watu kuzinguka nchi nzim, kwa zamu, kwa unafiki, wakijifanya kufanya maombi, wakati ratiba ya Chato walikuwa nayo.
View attachment 2939575
Hawa watu wanamuombea JPM kuliko hata Nyerere. Nadhani hii imekaa kimkakati ili kupandikiza hisia za udini katika jamii, hasa ukizingatia hawa jamaa huwa hawaridhiki nchi ikiwa na uongozi tofauti.
Kinamna wanawapanga waumini wao na wanataka kujigeuza jimbo la uchaguzi.
Busara ya kawaida tu inataka kwamba, baada ya taifa na familia kumaliza maombi chato, haingekiwa na haja ya hawa watu kuzinguka nchi nzim, kwa zamu, kwa unafiki, wakijifanya kufanya maombi, wakati ratiba ya Chato walikuwa nayo.
View attachment 2939575
Legacy ya kuua watu!!?...nonsenseKama huoni Jinsi hii legacy ya JPM inavyotesa watu basi Acha mvua inyeshe
Sent from my Nokia C10 using JamiiForums mobile app
dhu'ru'ma?, kumbe hizo roho zipo kwny Genes na DNAMaradhi ya haki wewe unaygua maradhi ya dhuruma
Huwa sipendi sana kubishana mambo ya dini.Kama yesu ni mwana wa mungu kama mnavyosema,na mnaenda mbali zaidi kwa kusema kwamba MARIA MTAKATIFU MAMA WA MUNGU,Tunaomba utuombee...so baba wa mungu ni nani??
So,to say that MUNGU MUUMBA WA MBINGU NA ARDHI ALILALA NA MARIA MTAKATIFU KISHA AKAPATIKANA YESU??
Kama nyinyi wagalatia mmefikia hatua ya kukufuru kiasi hiko kisa tuh mnaona uzao wake yesu ulikuwa wa maajabu kwa kuwa MARIA hakuwahi kukutana kimwili na mwanadamu,je kipi kilikuwa kizito zaidi kati ya kuumba ADAM na kisha kumpulizia pumzi na kisha ubavun mwake akatolewa HAWA na hiko cha MARIA kupata mtoto bila ya kuwa na BABA??
Hamtumii hata common sense MAKAFIRI??
Huwa sipendi sana kubishana mambo ya dini.
Sababu hata nikikuelekeza hayo uliandika hapo hayatakusaidia ni sawa nitakuwa natwanga maji kwenye kinu
Kwa wewe mtoto wa Islamic state.
Na huwa sipendi pia kujaji imani ya mwingine hata nikute mtu anaaabudu ngombe hiyo ni imani yake anavyoabudu.
Kanisa langu sijawahi kusikia tunajadili dini za wengine ila wao wanaacha mafundisho yao na kujadili kanisa letu
ndio maana mmejaa chuki hadi mnavamia makanisa na kufanya fuso mfano yule jamaa wa Zanzibar
Assume ndio mkristu angeingia msikini na kufanya alichokifanya yule jamaa ingekuwaje?? Kama angepona ingekuwa bahati yake
Nimalizie kwa kusemaπ
Waswahili wanasema mti wenye matunda ndio upigwa mawe
Asante
SASA SHIDA YOTE HIYO MNAYOPATA YA NINI??Mleta uzi wewe ndio mdini.
Kanisa likimuombea muumini wake wewe unawashwa nini?
Mwalimu Nyerere haombewi kwa sababu alishaombewa sana na kazi yake imekamilika, sasa yeye ndie anatuombea sisi, yupo mahali pazuri.