Liverpool VPN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 6,958
- 16,358
INTRODUCTION
Ashukuriwe Mhe. Raisi Mama Samia kwa kutuletea hizi ajira zaidi ya 11,000 hakika ameupiga mwingi.
PROBLEM
Ila Sasa nataka kuongea na kuuliza mabaharia MMEJIANDAAJE NA NDOA/MAPENZI YA BLUETOOTH kati yenu na hao wapenzi wenu?
SCENARIO
Unataka kunielewa?
Twende pamoja....
1. Upo Songea mkeo kapata ualimu Dar.
2. Upo Dodoma mchumba ako kapata post ya ajira ya unesi Mbeya.
3. Upo Sumbawanga, baby kawa mwalimu wa Kiswahili Iringa.
Sasa umejiandaaje?
Unajua huko anakoenda nako kuna wanaume?🤔🤔🤔🤔
CONCLUSION
Nikiwaambia msioe muwe mnaelewa.
Sasa mkeo/mchumba ako anapelekea mzigo wakulungwa ambao kwao ni mzigo mpyaaaa.
Haya bana, Mi waliopangiwa huku halmashauri yangu nawasubiri kuwakarimu kwa kuwapa ushirikiano wapate pakufikia.
Na infact hapa gheto nilikopanga Kuna self 2 double hazina wapangaji.
Mliopata ajira KARIBU KWENYE MATESO YA AJIRA ZA HALMASHAURI.
Anyway....
YANGA BINGWA
#YNWA