Baada ya hizi ajira za TAMISEMI, Wanaume wenzangu mmejiandaaje na mapenzi ya Bluetooth?

Baada ya hizi ajira za TAMISEMI, Wanaume wenzangu mmejiandaaje na mapenzi ya Bluetooth?

Makotena mapya
1. Yale makontena yaliyobeba V8 na Range huliwa na Wakuu wa Idara na Maafisa wa HQ (Halmashauri/Bomani).

2. Yalibeba Verosa na Crown huliwa na MEK, Wakuu wa washule, na Watendaji Kata.

3. Yaliyobeba IST na SWIFT haya huliwa na maafisa wadogo kama walimu, madkatari na wengine.

to yeye Aione kwenye Jalada.

#YNWA
 
Haya ndo matatizo ya kudhania kila mtu ana tabia za kimalalamalaya 🤣 🤣 , decent people hawakosekani kwenye jamii yoyote ingawa ni wachache otherwise wote tungekuwa na the same characteristics. Sasa kila wakati mtu akiwaza mapenzi, atafanya kazi kweli?
Sex sio umalaya, Sex ni ONE of the BASIC NEED.

Mwanamke asipopata mapenzi hata. Kazi haziendi.
Ushawahi kukutana na mwanamke ambae hajasugulia within days?

Bila Sex kazi HAZIWEZI KWENDA.

#YNWA
 
1. Yale makontena yaliyobeba V8 na Range huliwa na Wakuu wa Idara na Maafisa wa HQ (Halmashauri/Bomani).

2. Yalibeba Verosa na Crown huliwa na MEK, Wakuu wa washule, na Watendaji Kata.

3. Yaliyobeba IST na SWIFT haya huliwa na maafisa wadogo kama walimu, madkatari na wengine.

to yeye Aione kwenye Jalada.

#YNWA
Mada ya leo umeua mbona😉
 
INTRODUCTION
Ashukuriwe Mhe. Raisi Mama Samia kwa kutuletea hizi ajira zaidi ya 11,000 hakika ameupiga mwingi.

 PROBLEM
Ila Sasa nataka kuongea na kuuliza mabaharia MMEJIANDAAJE NA NDOA/MAPENZI YA BLUETOOTH kati yenu na hao wapenzi wenu?

SCENARIO
Unataka kunielewa?
Twende pamoja....

1. Upo Songea mkeo kapata ualimu Dar.

2. Upo Dodoma mchumba ako kapata post ya ajira ya unesi Mbeya.

3. Upo Sumbawanga, baby kawa mwalimu wa Kiswahili Iringa.

Sasa umejiandaaje?

Unajua huko anakoenda nako kuna wanaume?🤔🤔🤔🤔

CONCLUSION
Nikiwaambia msioe muwe mnaelewa.
Sasa mkeo/mchumba ako anapelekea mzigo wakulungwa ambao kwao ni mzigo mpyaaaa.

Haya bana, Mi waliopangiwa huku halmashauri yangu nawasubiri kuwakarimu kwa kuwapa ushirikiano wapate pakufikia.

Na infact hapa gheto nilikopanga Kuna self 2 double hazina wapangaji.

Mliopata ajira KARIBU KWENYE MATESO YA AJIRA ZA HALMASHAURI.

Anyway....
YANGA BINGWA

#YNWA
Habari bwana Liverpool VIP

Leo napingana na wewe
Kabisa kwa hoja kwamba

Kuchapiwa ni siri ya ndani

Wazee wazamani walishanena ukiwa mjanja kuchapiwa ni siri ya ndani


Na kucheepuka hakujaanza leo

Niwatie malays born msiogope kuoa

Oeni maana ndio kipimo cha akili
Kukomaaa.

Usije sikiliza maneno ya watuu

Leo wazee wetu wasingeoa tusingekuwepo
Hata mr Liverpool VPN
 
Kazi za halmashauri ni za mateso?

Hasaaa.
1. Kila mkuu wa Idara ni bosi wako
2. Kila anayetokea mkoani ni bosi wako
3. Kila anayetokea wizarani ni bosi wako.
4. Mtu akikosea anatafuta wa kumuangushia mzigo ili lawama ziwe zake.
5. Diwani akikuamulia unalo, na anamaamuzi juu yako. Yaani diwani ni kama bosi wako tu.
6. Mnyenyekee sanaa Mwenyekiti wa Halmashauri/Meya
7. Mishahara kidogoooo
8. Mengine utajionea mwenyewe kama wewe ni ajira mpya.

#YNWA
 
Ila wewe mnokoooo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hebu usiwatishe wenzio, wanawake sisi ni waaminifu sanaaa.
Kiukweli jamaa ana point mpaka anakera. Yaani tayari kajipanga kuwapokea, kuwapeleka ghetoni (kwake) walale ili kesho yake waongee na mwenye nyumba awapangishie self hapohapo.
Kisha jamaa yetu atawasindikiza kununua mahitaji......hapa hata kama ni mke ya mtu hesabu ataliwa tu.
 
Lipo Waz Hilo mamadam wanaliwa hivyo pindi wanapoanza kazi.
Kwanza lazima nyumba ya kupanga atatafutiwa na mwanaume maana wao kwa wao hawapendani ,pili kwenda kununua mahitaji madogo madogo lazima ataongozana na njemba tu.
Kiukweli inahitaji roho ya chuma mke wako kutoliwa japo wapo wenye misimamo na hawaliw hata ungefanya nini ingawa ni wawili kwa kumi.

Dawa usiwazie Sana hayo maana ukiwaza tu umekwisha fanya km Hakuna kinachoenda kutokea huko.
 
Back
Top Bottom