- Thread starter
- #41
the way you see itTangu ajiunge huko muda mrefu tu alikuwa kimya! Leo tu ndiyo afunuliwe kusema haya, kweli au ni bendera fuata upepo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
the way you see itTangu ajiunge huko muda mrefu tu alikuwa kimya! Leo tu ndiyo afunuliwe kusema haya, kweli au ni bendera fuata upepo?
Hoja za kuzungumuzwa zilowekwa mezani kama sikosei zilikuwa hoja kumi na moja baadhi zilifanyiwa kazi immediately mfano kufuta kesi zote za kisaiasa kurejeshwa mikitano ya kisaiasa,kurudishwa kwa Mali za wafanyabiashara zilizokwapuliwa wakati wa utawala wamagu,baadhi ya hoja ambazo hazikufikia muafaka ni pamoja katiba mpya, tume uhuru ya uchaguzi
Mbowe ndani ya chama ni Dikiteta mkubwa huwezi kumpinga na hutumia nguvu ya pesa anayoiba kuwadhoofisha wote wanaompimga, hata Lisu angekuwa katia nia mapema ya kuwania uenyekiti asingekuwa mzima leo, watia nia wote Mbowe aliwachakaza mapema
KAMA HUTAKI MARIDHIANO, WHAT ELSE THEN? NGUVU YA UMMA KWA TAZNZANIA BADO, MIMI NA WEWE NA YULE TU WAOGA WA KUFA/RISASI
Heshima kwa Mbowe inakuhusu nini sasa, kwani sasa hivi unawafahamu?CCM ina uvumilivu mkubwa wa ndani kwa ndani japo wanahujumiana na kushughulikiana kwa kiwango kikubwa sana lakini kinachowapa uvumilivu ni ukomo wa uongozi wa chama na serikali .
Kundi la wazalendo ndani ya CCM linapoona mafisadi wanatamalaki na kiongozi wao wanavumilia kwa sababu miaka kumi iliopita wazalendo wataingia madarakani na kuweka timu yao ,japo kundi la mafisadi hua linatoka kwa shingo upande. Sasa Chadema tatizo ni kuwa kundi la mafisadi limekaa miaka 22 kwenye kiti .
Ni wazi kuwa Wananchi wa kawaida wa wanapenda kuona sura mpya kwenye uongozi lakini mafisadi na viongozi wa wanapenda mtu anayewafaa wao tuu ndio akalie kiti milele.
Mbowe hata akishinda na kuwa mwenyekiti hawezi kamwe kupata heshima aliyokua ameipata . Hakuna Mtu wa kawaida au msomi au mazalendo wa kweli atakayemwalini .Atabaki kuwa chaguo la mafisadi . Mafisadi Watamshangilia sana lakini Chadema hata pakiwa na uchaguzi wa uwazi na wa haki hawezi kupata kura zaidi ya milioni moja.
Shida hapa ni kuwa Lissu na mashabiki wake wamekuwa wakimbebesha lawama Mwenyekiti Mbowe peke yake kuhusu suala la "maridhiano". Bahati mbaya kwenye hili Lissu amekuwa ndumila kuwila. Kinafanyika sasa hivi cha kila upande kuchafuana kwa kweli hakipendezi. Mfaidika ni CCM peke yake. Kuna ule msemo kuhu vita vya panzi.....Lissu hakusema hataki maridhiano, alisema hakupendezwa na ulaghai na kupotezeana muda kulikokuwa kunaendelea wakati wa mazungumzo.
..hata Mwenyekiti Mbowe alitoka hadharani na kuthibitisha msimamo wa Lissu na wengine kwamba CCM hawakuwa na nia ya kweli ktk mazungumzo ya maridhiano.
..kwasababu imethibitika kwamba CCM ndio hawataki maridhiano mimi nilidhani ni vizuri mkawauliza hao kama wanaitakia mema nchi yetu.
..Nasisitiza muwahoji CCM badala ya kuwatweza watu wetu wenyewe.
Heshima kwa Mbowe inakuhusu nini sasa, kwani sasa hivi unawafahamu?
Unaposema ccm wanashughulikiana maana yake nako hakuna uvumilivu.
Mbowe ni mgombea, wewe omba ashindwe, lakini usitafute vijisababu visivyo na maana, heshima kila mtu anaheshimu wanao muheshimu, usipomuheshimu mbowe inakuwa nini sasa?
Mnaogopa Chadema kufa, mbona imesha kufa? Lisu akiwa mwenyekiti imekufa, Mbowe akiwa mwenyekiti imekufa.Chama kitamfia kama CUF ,TLP, UDP n.k kung'ang'ania madaraka kwa kuwasikiliza wapumbavu wasiojua siasa .
Kasomeni siasa na uongozi .
CCM ya Nyerere kukalia kiti miaka mingi ni kwa sababu CCM ni chama cha kijamaa wakati huo . Ujamaa ulikua ni ujamaa kweli kweli . Ubepari ulipoingia wakati wa Mwinyi hakuna tena suala la kung'ang'ania madaraka .
Kwa taarifa yako Kwenye mfumo wa Kiliberali na kibepari kuing'ang'ania madaraka unapotea kabisa kisasa .
Mbowe amejinyea mwenyewe asubiri kufuatwa na nzi .
Kama kuongeza wanachama ni kuua chama basi Lisu atakiua chama mana ataongeza wanachama wengi hasa vijana wasomi wa Sheria ,uongozi ,utawala ,siasa na uchumi.Mnaogopa Chadema kufa, mbona imesha kufa? Lisu akiwa mwenyekiti imekufa, Mbowe akiwa mwenyekiti imekufa.
Hizo pande mbili haziwezi kukaa pamoja tena.
Mimi nitakuwa hapa kuwakumbusha, matusi na kelele za Team Lisu.
Lisu akichukuwa nafasi ya uwenyekiti chadema inakufa.Kama kuongeza wanachama ni kuua chama basi Lisu atakiua chama mana ataongeza wanachama wengi hasa vijana wasomi wa Sheria ,uongozi ,utawala ,siasa na uchumi.
Mbowe akibaki Chama kitakimbiwa na watu wengi nchi nzima na hakuna mtu mpya hata mmoja atajiunga na Chadema kwa miaka 5 ijayo . Hilo halina ubishi. Na uchaguzi ujao hakuna mtu atakayegombea Urais kupitia Chadema labda agombee yeye mwenyewe . Na Mbowe aligombea hapati zaidi ya kura laki mbili na nusu. Kwa sababu watanzania hawajawahi kumpigia kura fisadi anayetetea ufiadi na asiyetaka mafisadi wa wajibishwe .
Lisu akiwa mwenyekiti Chadema haiwezi kufa kwa sababu . Watu wa mbowe walechokwa na wananchi wengi kwa sababu ya ubinafsi wao.
Chadema kinaongozwa na mtu asiyefuata katiba ya chama chake na haijui. Wewe uliwahi kumsikia mbowe akitaja hata kifungu kimoja cha katiba ya chama chake zaidi ya kusema ni maamuzi ya vikao anavyoviongoza yeye na msemaji ni yeye na mwenye amri ya mwisho ni yeye.
Kwanza Lisu anapendwa na watanzania wote bila kujali makabila yeo.
Mbowe hakubaliki kabisa kutokana na kuwa na kashfa ya ukabila ,unyanyasaji ,utekaji , uuaji wa Chcha Wangwe na kufukuza vijana wasomi kwenye chama .
Hivi zile harakati za Chadema vyuoni zilifia wapi? Kwa ni ni mbowe na kundi lake walianza ghafla kuwatenga wasomi ? Hivi umewahi kujiuliza hilo swali!! Jibu ni moja walitaka wahodhi chama mpaka wakabidhi watoto wao na marafiki zao ndio maana wakaondoa ukomo wa madaraka . Vijana wa vyuo hawana tena nafasi ndio maana unaona sehemu kama Mbeya pamekuwa ni pango la unyang'anyi la Sugu hataki vijana wasomi kujitokeza kugombea kwenye lile jimbo kwa sasa miaka zaidi ya 20 na anaona kuwa Mbeya ni ya kwake bila kujua kuwa wana Mbeya ni watu wanaopenda mabadiliko . Kwa hiyo hata akijitokeza mtu mwingine tofauti na Sugu WATU watamchagua alimradi mwenyekiti wa chama akubali haki itendeke ndani ya chama.
Kwa akili zenu mnadhani WATU waliokua wanapigwa risasi kule Mbeya Tarime ,Geita , Mwanza , Tunduma n.k. walikua wanapigania chama au walikua wanampigania Mtu anayeitwa mbowe . ?
Chama kinajengwa na falsafa na uadilifu wa viongozi katikati ya ufisadi wa watawala.
Sasa leo Mbowe ni mtuhumiwa wa ufisadi atajenga vipi chama kwa wananchi wa chini.?
Subiri uone Lisu akichukua chama ndio mtajua hii nchi ni ya makabila 127 na sio ya Mbowe !
Lisu tutampa mbinu za kisayansi kabisa za kuongoza chama na kukijenga kimapato kuanzia chini mpaka juu . Wote wakipigania chama sio mabwanyenye wachache wanaotembea na helkopta wakati wajumbe hawana hata hela za kuchapisha matangazo au kutangaza mikutano . Hovyo kabisa.
Chama kitajengwa na ofisi zitajengwa kuanzia ngazi ya msingi mpaka taifa ndani ya miaka mitano .
Na CCM itaondoka madarakani mana wanachama wengi wa CCM watamuunga mkono Lisu kwa uzalendo wake .
Nani ataungana na Fisadi Mbowe badala yake si bora kubaki CCM
Lisu akichukuwa nafasi ya uwenyekiti chadema inakufa.
Siasa vyuoni ilipigwa marufuku na Magufuli licha ya uvcc kuwa na matawi, chadema walizuiliwa, hili siyo la Mbowe, najua team Lisu mnapenda uongo na uzushi lakini hamtaki ukweli.
Kwanini Lisu asianzishe chama mkaenda huko? Au mchague chama mwende na hao watu na vijana mlio nao mnasubiri nini?
Lisu amekuwa mwanasheria mkuu wachama, makamu mwenyekiti wa chama, hamkuupa mbinu za kuongoza chama kisayansi, mnasubiri awe mwenyekiti chadema?
Lisu kesha kipasua chama, hawezi kukijenga tena.
Msikilize kwa makini if interestd anyway! Nawakaribisha machawa wote wa FAM na TAL, kuna cha kujifunza kikubwa kuhusu wajumbe kuwa informed who to vote for!
Maridhiano basi, sasa utatumia mbinu gani? vita? Utakinukisha kwa vipi? vita?
msikilize
Siasa vyuoni zilipigwa marufuku na Magufuli, na siasa kwa ujumla zilipigwa marufuku na Magufuli, alikataa viongozi wa chadema, hasa wabunge kufanya siasa nje ya majimbo yao ya uchaguzi.Siasa vioni hazijawahi kuruhusiwa kwa vyama vya upinzani miaka yote . Mbowe na genge lake hawataki kuona watu wa kuwasumbua tena kama akina Zito na Kitilya mkumbi ndio maana haandai vijana tena vyuoni na sio kwamba eti walipigwa marufuku.
Akina Mnyika walifukuzwa chuoni kwa sababu ya kuwa wapinzani . Mabomu yalipigwa sana chuoni kwa sababu ya upinzani . Vijana waliohamasika kutokana na sera za kupinga ufisadi na kukopa kopa nje huku wanafunzi wakiwa wanakosa mikopo na mahitaji mengine . Sasa nani unamwambia aandamane wakati walikua wanaona JPM anatuambia majipu na kujenga miundo mbinu ya kutosha .? Wanafunzi walikua wanatoka Mabibo hosteli kwenda Mlimani wanatumia masaa matano kwenye foleni halafu baada ya JPM kuja wakawa wanatumia dkt 20 halafu uwaambie waandamane . ? Siasa vyuoni zilikuwa kwa sababu wapinzani walipoteza agenda na ushawishi .
Ni lazima wanafunzi wa vyuo wawe na uhakika wa kupata fursa za kuongoza chama kwenye ngazi mbalimbali sasa kama uongozi hauna ukomo ni mwanafunzi gani atajiunga na upinzani . DP World wamegawa asali kwa viongozi wa Chadema na wengi wakawa matajiri ghafla . Watu waliokua wamebanwa kipindi cha miaka 6 ,eti wanabiashara ndani ya miaka miwili wamekua mabilionea . Japo Mbowe ni tajiri wa kurithi lakini hao wengine wametumia udhaifu wa mwenyekiti kulambishwa asali na kutumia fedha kuhonga kwenye chaguzi. Kabla ya DP World waandishi wengi wa habari na viongozi wa vyama vya upinzani walikua na hali ngumu lakini ghafla wakaibuka kuwa mabilionea . Hapo unapata wapi nguvu ya kuwavutia wanafunzi wa vyuo .?
Lisu akichukuwa nafasi ya uwenyekiti chadema inakufa.
Siasa vyuoni ilipigwa marufuku na Magufuli licha ya uvcc kuwa na matawi, chadema walizuiliwa, hili siyo la Mbowe, najua team Lisu mnapenda uongo na uzushi lakini hamtaki ukweli.
Kwanini Lisu asianzishe chama mkaenda huko? Au mchague chama mwende na hao watu na vijana mlio nao mnasubiri nini?
Lisu amekuwa mwanasheria mkuu wachama, makamu mwenyekiti wa chama, hamkuupa mbinu za kuongoza chama kisayansi, mnasubiri awe mwenyekiti chadema?
Lisu kesha kipasua chama, hawezi kukijenga tena.
Siasa vyuoni zilipigwa marufuku na Magufuli, na siasa kwa ujumla zilipigwa marufuku na Magufuli, alikataa viongozi wa chadema, hasa wabunge kufanya siasa nje ya majimbo yao ya uchaguzi.
Zamani ilikuwa inaruhusiwa kufanya siasa vyuoni na kila sehemu, magufuli aliweka mipaka.
Halafu kama malengo yako kuingia kwenye siasa ni kuwa kiongozi, fuata taratibu za kugombea kila kunapokuwa na nafasi, hujakatazwa.
Pia hao wanafunzi hawajakatazwa kugombea nafasi yoyote, hayo mengine ni bluh bluh zako tu.
Mambo ya rushwa uwe unatafuta ushahidi, usiongee vitu bila ushahidi kwa nia ya kuwa kiongozi kwa kuwachafua wenzako.
Kama una ushahidi ulete mimi nitakusaidia kuufikisha mahala husika na kesi zitafunguliwa na hatua zitachukuliwa.
Hakuna niliposema wanachama ni familia ya Mbowe, ila team Lisu mnajipa umalaika msiokuwa nao.Chama ni wanachama sio Mbowe.
Wanachama wengi wa Chadema walitokea CCM na NCCR Mageuzi na sio watu wa nyumbani kwa mbowe au watoto wake.
Walikuja Chadema sio kwa sababu ya Utajiri wa Mbowe bali kwa sababu ya agenda ya ufisadi iliyokuwa imeasisiwa na Lisu na Dr.Sla
Kwa hiyo Tanzania hakuna rushwa .
kimefikia mahali mpaka bandari zinauzwa kwa wageni kwa sababu ya rushwa leo unazungumzia habari za kuchukua hatua za wala rushwa .
Rushwa ipo na kuthibitisha ni ngumu ilaatokeo yake yanaonekana. Rushwa za wana siasa ni dili la kundi la wahuni . Mara nyingi waadilifu ndio wahanga wa kupigwa vita na makundi ya wala rushwa .
Huwezi kusema unakinufaisha chama kwa gharama zako ,unakibeba chama kwa maumivu makali halafu unagoma kukaa pembeni na kuwaachia wengine. Unaona bora chama kife kuliko kumwachia mtu mwingine chama.
Ukweli ni kamba Mbowe akishinda siku hiyo anatangazwa zitachanwa kadi zaidi ya elfu kumi . Kufikia uchaguzi Mbowe atabaki na wapiga kura 250000 tu.