Wakuperuzi
JF-Expert Member
- Mar 31, 2023
- 2,348
- 5,841
Kabisa mkuu nimemuitikia kinafki tuUmngoje 5 yrs?
Yeye sidhani Kama atakungoja.
Fimbo ya mbali haiui nyoka
Bwana alitoa na bwana ametwaa!Mpango hpa ni kuleta tu maombi ya kutafuta mke mwingne humu ndani hbari ya kusubiri miaka 5 na mtu katupiwa kagera huko ni uongo
Milele aminaBwana alitoa na bwana ametwaa!
Imeisha hio!!!
Ni rahisi kwasasa ila Mambo hubadilika kadri mda unavyozidi yoyoma. Na si ajabu akaanza kubadilika yeye.Kabisa mkuu nimemuitikia kinafki tu
Htari mkuuduh aiseee
Uko sahihi mkuu si wakuchukulia dhamana hawaNi rahisi kwasasa ila Mambo hubadilika kadri mda unavyozidi yoyoma. Na si ajabu akaanza kubadilika yeye.
Uwe makini mkuu ukae mguu mmoja njee mwingine ndani.Uko sahihi mkuu si wakuchukulia dhamana hawa
Hebu acha unaa, mtie moyo kijana.Bwana alitoa na bwana ametwaa!
Imeisha hio!!!
Tahadhari imeshachukuliwa"Bukoba tower, i declare emergency. We gotta fire on board, i repeat we gotta fire onboard."
Nimtie moyo wakati najua kabla mwezi haujaisha hata simu yake kupokelewa itakuwa kipengele 🤣🤣🤣Hebu acha unaa, mtie moyo kijana.
Bukoba tower, this is headquarter responding, please stand down wait for the backup, i repeat!! do not engage!!!"Bukoba tower, i declare emergency. We gotta fire on board, i repeat we gotta fire onboard."
Kwakauli hii... Limeisha hilibwana akufanyie wepesi
HahahNimtie moyo wakati najua kabla mwezi haujaisha hata simu yake kupokelewa itakuwa kipengele 🤣🤣🤣
Wanaua sanaHebu acha unaa, mtie moyo kijana.