Fabian Vitus
JF-Expert Member
- Jul 18, 2022
- 5,828
- 7,532
Naomba rufaa yakumfuata mtu inbox maana sasa kuna vitu sielew mnipe mwongozo kidogoBasi tuu hatuna lolote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba rufaa yakumfuata mtu inbox maana sasa kuna vitu sielew mnipe mwongozo kidogoBasi tuu hatuna lolote
Mwambie kuwa miaka 5 umri wako hausimami.Mpango hapa ni kuleta tu maombi ya kutafuta mke mwingne humu ndani.
Habari ya kusubiri miaka 5 na mtu katupiwa Kagera huko ni uongo.
View attachment 2648377
😀😀😀 ETI DURU ZA UCHAGUZI......HahahahaahahUmngoje 5 yrs? Ni duru ya uchaguzi hiyo?
Yeye sidhani Kama atakungoja.
Fimbo ya mbali haiui nyoka
Hawa viumbe ni hatari sana. Nje ni kama kondoo ila ndani ni mbwa mwitu. Miaka 5 unamvumilia mtu kweli? Huyo mwanamke hana mpango na jamaa na huo muda kama anatafuta mtu, akikosa ndiyo atarudi kwa jamaa.Jaribu kusoma upepo labda anachoongea anamaanisha Msubiri
Hahahah Maisha kama karata unaookosea kuzichanga tu basi Maisha lazima yskurudie😂Hawa viumbe ni hatari sana. Nje ni kama kondoo ila ndani ni mbwa mwitu. Miaka 5 unamvumilia mtu kweli? Huyo mwanamke hana mpango na jamaa na huo muda kama anatafuta mtu, akikosa ndiyo atarudi kwa jamaa.
Mpango hapa ni kuleta tu maombi ya kutafuta mke mwingne humu ndani.
Habari ya kusubiri miaka 5 na mtu katupiwa Kagera huko ni uongo.
View attachment 2648377