Baada ya jina lake kutoka kwenye Mkeka wa Afya ataka nisubiri miaka 5 ndio niweze kumuoa

Baada ya jina lake kutoka kwenye Mkeka wa Afya ataka nisubiri miaka 5 ndio niweze kumuoa

Miaka mi5[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
 
Mwambie ukweli kuwa huwez kumsubir usije kumchelewesha mwenzio na muolewaji aseme miaka 5 yote ya nn mnachelewesha watoto shule tu
Aisee, kumbe mnatafuta unafuu wa maisha kwa mwanaume ila mkipata maendeleo kidogo ndio mnaanza kuweka visilani na mambo ya muda hivi. Hadi kutishiana kuwa unacheleshwa. Basi, tuweke conclusion kuwa, kamwe mwanaume asioe mwanamke asie na kipato mpaka awe nacho maana hajui safari yake bado na huweka ahadi au malengo ya uongo. Nimejifunza mengi hapa na lililo bora ni kuwa mahusiano au ndoa ni ajira kwa mwamamke. Narudia tena hamjitambui! Za asubuhi dada mkubwa.
 
Ulikosea sana kusubiria mwanamke miaka 5 bila kutia mimba hata mbili?
Sasa hivi angekuwa na watoto wako,heshima ingekuwepo hata kama angeenda Brazil.

Vijana mnakwama wapi au uoga wa maisha unamwacha mwanamke unayempenda kisa anaenda kufanya kazi mbali nawe ya laki tatu/nne kwa mwezi?? Serious!!
Hiyo kazi ndiyo ilimpa unafuu huyo mwanamke na kumhudumia kwa vitu kadhaa. Huyo mdada kupata ajira tamisemi ni bahati tu ambayo kupata kwake ingemuangukia yeyote, acheni kudharau vipato vya watu.
 
Hiyo kazi ndiyo ilimpa unafuu huyo mwanamke na kumhudumia kwa vitu kadhaa. Huyo mdada kupata ajira tamisemi ni bahati tu ambayo kupata kwake ingemuangukia yeyote, acheni kudharau vipato vya watu.
Uko sahihi mkuu
 
Lakini wakati unasubiri si mtaendelea kunani hii eeh? Kama ndiyo Sasa kinachokushinda kusubiri ni Nini?,msubiri
SEMA unaeza subiri afu bdae ukajaskia kaolewa na dokta mwenzie hapo ndo mbaaya japo hutakiwi kuwa na mawazo hasi
 
Your duty is over !!! The aftermath will be like a nightmare !!!
 
Mkuu kubali hiyo game umepoteza...
Kajipange kwingine
 
Lakini wakati unasubiri si mtaendelea kunani hii eeh? Kama ndiyo Sasa kinachokushinda kusubiri ni Nini?,msubiri
SEMA unaeza subiri afu bdae ukajaskia kaolewa na dokta mwenzie hapo ndo mbaaya japo hutakiwi kuwa na mawazo hasi
Hapa nimekubaliana na ww ila changamoto ni hii kusubir thn mwsho wa siku anakuja kuolewa inakata hii
 
Back
Top Bottom