Na Ulaya wameshtuka hawana mgao baada ya kutengwa kwenye mazungunzo ya awali kule Saudi Arabia.Sasa mkuu hawawezi kuruhusu Urusi ishinde wakati mkapa sasa ina beba maeneo karibia kila siku pamoja na misaada yao yote.
Sasa jiulize pamoja na misaada yao ikuwemo ile ya Marekani bado Urusi alikuwa anasonga mbele je Marekani akikata musaada?
Alafu usije kujidanganya ya kwamba nchi za Ulaya zinaipenda Ukraine bali zimekasirishwa na hatua ya Trump kuwageuka na kutaka kupora utajiri ya Ukraine peke yake na wao kuambulia kapa hilo ndo lina watoa mapovu, lakini Marekani angewashirikisha nao katika huo uporaji unaotakwa kufanywa na Marekani hizi kelele usinge kuwa unazisikia.
Hata hiyo wanayotaka kutoa kwa jina la misaada watakuja kudai. Wameona hawana namna nzuri ya kudai mnofu ulionona bila ya kuongeza misaada.
Ulaya imechoka kiuchumi, angalia chaguzi Kila mara - wananchi wanechafukwa.