Baada ya Kauli ya Rais Samia, Waliomtukana Dkt. Bashiru wamuombe radhi

Lukas Mwashambwa yupo ?
Cha kushangaza hata Pascal Mayalla naye aliingia mkenge kwenye hili.
Mzee mwenzangu huyu amekuwa akishauriwa sana kuwa baada ya kuwa Wakili (noble professional) hayo mambo ya uchawa ndani ya CCM ayaache, but it's very unfortunate kaamua kuweka nta masikioni [emoji24][emoji24]

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Nimeona Kigwa kapiga U turn kasema hata Yeye hapendi Kusifia wala kusifiwa!
Kigwangalla hajitambui. Njaa ikimuuma tu anapoteza uelekeo.
Hana dira hajui alekee wapi wala asimamie itikadi gani.
Hana falsafa yoyote katika maisha yake binafsi na yale ya kisiasa.

Nawakubali Bashe na Makamba japo wanafeli kwenye wizara zao kwa sasa lakini unaona wana misimamo na itikadi flani wanaziamini katika utendaji wao.
 
Cha kushangaza hata Pascal Mayalla naye aliingia mkenge kwenye hili.
Mzee mwenzangu huyu amekuwa akishauriwa sana kuwa baada ya kuwa Wakili (noble professional) hayo mambo ya uchawa ndani ya CCM ayaache, but it's very unfortunate kaamua kuweka nta masikioni [emoji24][emoji24]

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Pascal Mayalla kijana wangu sikia huu ujumbe😂
 
Kigwangalla hajitambui. Njaa ikimuuma tu anapoteza uelekeo.
Hana dira hajui alekee wapi wala asimamie itikadi gani.
Hana falsafa yoyote katika maisha yake binafsi na yale ya kisiasa.

Nawakubali Bashe na Makamba japo wanafeli kwenye wizara zao kwa sasa lakini unaona wana misimamo na itikadi flani wanaziamini katika utendaji wao.
Kigwa anapenda Siasa nyepesi kama za akina Msukuma na Kibajaj lakini haziwezi
 
Hata Maza anajua haupigi mwingi. Hataki sifa za kijinga
Wanaccm kindakindaki na machawa ambao mlijikita katika kumshambulia Dkt. Bashiru kwa kauli yake kwa Taasisi ya Wakulima juu kumsifia sifia Rais badala ya kutimiza malengo yao ya kutetea wakulima wamepigwa stop.

Akizungumza katika kufungua mkutano wa UWT Rais aliwaonya na kukataa mabango ya "TUNAKWENDA NA SAMIA" au "SAMIA ANAUPIGA MWINGI" na kusema sifa ni za Serikali sio mtu na waache mara moja.

Hii maana yake aliyosema Bashiru yalikuwa sahihi.

Je hii aibu wanaibebaje hao wanafiki? Yuko wapi Lusinde au Msukuma waliomshambulia Bashiru? Yuko wapi Amos Makalla na wengine? AIBU KUBWA na walipaswa kusimama na kumuomba radhi Dkt. Bashiru.
 
Ngoja niamini kuwa kauli hii ya Rais Samia ameitoa kwa dhati kabisa ya moyo wake
 
Wana-CCM kindakindaki na machawa ambao mlijikita katika kumshambulia Dkt. Bashiru kwa kauli yake kwa Taasisi ya Wakulima juu kumsifia sifia Rais badala ya kutimiza malengo yao ya kutetea wakulima wamepigwa stop.

Akizungumza katika kufungua mkutano wa UWT Rais aliwaonya na kukataa mabango ya "TUNAKWENDA NA SAMIA" au "SAMIA ANAUPIGA MWINGI" na kusema sifa ni za Serikali sio mtu na waache mara moja.

Hii maana yake aliyosema Bashiru yalikuwa sahihi.

Je, hii aibu wanaibebaje hao wanafiki? Yuko wapi Lusinde au Msukuma waliomshambulia Bashiru? Yuko wapi Amos Makalla na wengine? AIBU KUBWA na walipaswa kusimama na kumuomba radhi Dkt. Bashiru.
kwa kweli bora amewanaga,hao machawa walikuwa wanakera sana na hali hii imezidi sana awamu hii.
 
Kuisifia serikali ni bora zaidi kwa mustakabali wa chama chai kuliko kumsifia mtu mmoja kua anaupiga mwingi.

Mwisho wa siku huku chini kunakua hamna uwajibikaji kabisa, ukimsifia mkuu anakulinda.

Kama mama kaamua hivyo ni vyema sana, keshaona wanafki wengi mno na wanamzunguka sana kwa sifa za kijinga.
Atake asitake anaupiga "MWINGI", kuupiga mwingi sio NSAHAFU wala BIBLIA , ankataa? ankataa kitugani huyoo?, ALAZIMISHWE ati, ALAZIMISHWE ati...., tena ipelekwe sheria Bungeni, neno kuupiga MWINGI liwe ni SHERIA.. (Chini ya loud speaker Ndugai)
 
Kina Kibajaji,Kigwangala,RC Dsm ......kifupi wengi waliokwenye Mamlaka ni zero Brain wanasurvive kiujanja ujanja tu.........badala ya kutatua na kukemea mambo mengi yanayoiaonga jamii........imekuwa ni kusifu na kuabudu tu...........yaani hata ubunifu wa viongozi hakuna,sentensi mbili kusifu tu....... Mwenyewe amechoka sasa hapa wengi watakuwa jobless maana wanatafuta kazi Kwa matarumbeta,

NB: Viongozi wetu chague watu kwenye nafasi za uteuzi Kwa kuzingatia uwezo na si makelele kelele tu
 
Mwingine yupo huku huku Jf yeye alisema Bora Bashiru akae kimya,!!
Uchawa bwana!!!
 
Wana-CCM kindakindaki na machawa ambao mlijikita katika kumshambulia Dkt. Bashiru kwa kauli yake kwa Taasisi ya Wakulima juu kumsifia sifia Rais badala ya kutimiza malengo yao ya kutetea wakulima wamepigwa stop.

Akizungumza katika kufungua mkutano wa UWT Rais aliwaonya na kukataa mabango ya "TUNAKWENDA NA SAMIA" au "SAMIA ANAUPIGA MWINGI" na kusema sifa ni za Serikali sio mtu na waache mara moja.

Hii maana yake aliyosema Bashiru yalikuwa sahihi.

Je, hii aibu wanaibebaje hao wanafiki? Yuko wapi Lusinde au Msukuma waliomshambulia Bashiru? Yuko wapi Amos Makalla na wengine? AIBU KUBWA na walipaswa kusimama na kumuomba radhi Dkt. Bashiru.
Kigwangwala Kibajaji na MACHAWA wenzeni SURA zimewashuka MAMA HATAKI Ujinga wenu wa KUMSIFIA
 
Atake asitake anaupiga "MWINGI", kuupiga mwingi sio NSAHAFU wala BIBLIA , ankataa? ankataa kitugani huyoo?, ALAZIMISHWE ati, ALAZIMISHWE ati...., tena ipelekwe sheria Bungeni, neno kuupiga MWINGI liwe ni SHERIA.. (Chini ya loud speaker Ndugai)
Unayemsema alikataa hadharani na Kessy na Nkamia pamoja na huo ujuha wao hata bungeni hawakurudi tena
 
Back
Top Bottom