Baada ya Kauli ya Rais Samia, Waliomtukana Dkt. Bashiru wamuombe radhi

CCM hawanaga Aibu Mpwa
 
Bashiru amezoea siasa za unafiki alizokuwa anazifanya katika chama cha CUF ambacho ni chama mshirika na CCM.
Je!
Tuendelee na chuki zenu kwa Bashiru au Tuendelee na maneno na kauli ya Samia?
 
Serikali yake inafanya majukumu ya kiserikali ya kawaida, sasa ukisema Samia anaupiga mwingi ndio hapo wengine wanajiuliza kipi cha ziada anachofanya Samia chenye kufanya mseme anaupiga mwingi?
Kumbe tunanabadili kauli mbiu ,kishindo Cha Mama
 
Baada ya Ally kupigiwa simu za vitisho akishinikizwa aombe radhi kama yule mgogo,

Aliwajibu kuwa hatoomba radhi, pale alizungumza tu, hajasema Bado,

Kama kawaida Yao, wanafiki wa pwani, saiz lazima wabadili upepo.

Wananchi wananewa bt viongozi hawatatui kero, wao ni kusifia tu.
 

Watu wenye akili wengi ni wale wanaokula matunda, mbogamboga na ngano. Mtu anayekula ugali, automatically anakuwa mjinga.
 
Hii tabia ya kusifia viongozi sifa za kijinga ni baada ya CCM kupoteza ushawishi kwa umma. Hizi sifa za kipropaganda ni kuhadaa umma kwa viongozi wa CCM wanakubalika, na pia ni sehemu ya kusaka vyeo. Tabia hii ilikita mizizi kwenye awamu ya tano kipindi cha yule baba wa uongo.
 
Wanasemaga wasiwasi ni Akili !! Kukaa chonjo ni muhimu. !!
Ni kweli maana vitani rafiki naye aweza kuwa adui, na kwa sasa mapambano ndo tayari yameshaanza rasmi japo haijawa ana kwa ana ..bado risasi ni za mbali kwa mbali, tunasubiri za karibu karibu za mguu wa kuku
 
Ccm wenyewe kwenye kampeni 2015 walitumia njia ya kumtangaza sana Magufuli kama Magufuli kuliko chama.
 
Watu wenye akili wengi ni wale wanaokula matunda, mbogamboga na ngano. Mtu anayekula ugali, automatically anakuwa mjinga.
Ugali unaliwa na mboga na mboga rahisi watu hali ya chini ni mboga za majani, na kuhusu ngano ni ngumu kuiepuka kuto kula.
 
Lile taahira li fast cost falacy sijui linasemaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…