Makamba nadhani yuko vizuri
 
Hivi hata knowledge ndogo ya katiba hamna?
 
Cleopa amewahi kuwa makamu wa raisi, alichokua nafasi ya Malecela. Ila ni kweli hili mlikuwa hamjui au ni ubishi tu? Ukiingia hata Google si unaweza kupata hiyo habari?
Hayo unayemfundisha ni mimi au nani? Mimi nilikuwa namshangaa mleta mada na mmoja wa wachangiaji law kushindwa kuifahamu historia nyepesi namna hiyo.
 
Nawaza tu hapa nikiwa Lindoni, natafakari ikiwa Mheshimiwa Samia Suluhu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ataamua kumteua Kassim Majaliwa mbunge na Waziri Mkuu kuwa Makamu wa Rais na William Lukuvi kuwa Waziri Mkuu, tutapata combination ngumu yenye speed ya ajabu.

Watumishi ambao watendaji wazembe watasema bora Magufuli alikuwa na huruma.
 
Zote hizo ni taka taka. Meko alishaziharibu.
 
Moto unategemea Rais. Ndio maana kila jambo walikuwa wakisema kwa maelekezo/maagizo ya mheshimiwa rais...
 
Majaliwa hafai. Tumsahau kabisa. Lukuvi sawa, anakubalika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…