Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Upo serious? Cleopa msuya amewahi kuwa makamu wa raisi, alichukua nafasi ya Malecela.Ahajawahi kuwa makamu wa rais bali waziri mkuu...
Hivi ni kweli mlikuwa hamjui?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upo serious? Cleopa msuya amewahi kuwa makamu wa raisi, alichukua nafasi ya Malecela.Ahajawahi kuwa makamu wa rais bali waziri mkuu...
Ni kweli kabisa hujui kuwa cleopa msuya amewahi kuwa makamu wa raisi?? Kila siku upo humu jf na kujifanya unajua kumbe jinga tuHakuwa makamu wa Rais wa Jamhuri ya muungano
Makamba nadhani yuko vizuriNani huyo pale kaskazini. Prof Maghembe ambaye hata kwenye msiba sdhan kama kaonekana. Au wewe unataka kutuambia nani. Labda Dr kimei anayeonekana na yeye atakuwa na vitabia vya uchaga vyenye mlengo wa kichatochato. Nani sasa pale kaskazin maana naona labda January Makamba kijana mwenye maono ya kuyaishi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi hata knowledge ndogo ya katiba hamna?Mimi naona mazingira ya uongozi wa Rais Samia Suluhu yananishawishi ni heri kamanda mstaafu Jenerali Mwamunyange afikiriwe umakamu wa Rais.Huyu ndiye "roho wa Bwana" ananionyesha sana. Kila nikisali anakuja huyu wa kwanza.
Mwingine ni dokta Wilbroad Peter Slaa. Yaani huyu apewe hata uwaziri mkuu ikishindikana umakamu.
Mwisho ni Philip Marmo, Mzee Mangula, Christopher Chiza, William Lukuvi na Job Ndugai na Anthony Mtaka.
Hivi kule TISS hakuna wazee wetu wastaafu waliobakiabakia?
Hayo unayemfundisha ni mimi au nani? Mimi nilikuwa namshangaa mleta mada na mmoja wa wachangiaji law kushindwa kuifahamu historia nyepesi namna hiyo.Cleopa amewahi kuwa makamu wa raisi, alichokua nafasi ya Malecela. Ila ni kweli hili mlikuwa hamjui au ni ubishi tu? Ukiingia hata Google si unaweza kupata hiyo habari?
Kabudi kwenye serikali ya awamu ya tano alikuwa pseudo presidentKabudi hapana, mi naogopa macho yake.
Ok nimekuelewaHayo unayemfundisha ni mimi au nani? Mimi nilikuwa namshangaa mleta mada na mmoja wa wachangiaji law kushindwa kuifahamu historia nyepesi namna hiyo.
Zote hizo ni taka taka. Meko alishaziharibu.Nawaza tu hapa nikiwa Lindoni, natafakari ikiwa Mheshimiwa Samia Suluhu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ataamua kumteua Kassim Majaliwa mbunge na Waziri Mkuu kuwa Makamu wa Rais na William Lukuvi kuwa Waziri Mkuu, tutapata combination ngumu yenye speed ya ajabu.
Watumishi ambao watendaji wazembe watasema bora Magufuli alikuwa na huruma.
Comb hii ni zaidi ya PCMNami naiona kabisa hii kombinenga ikija
Itakuwa vizuri sana miradi yote ya Magu inaweza malizika.Nami naiona kabisa hii kombinenga ikija
Huyu kiumbe muongo sana.Unamzungumzia Majaliwa yupi?Huyuhuyu aliedanganya Taifa kuwa Rais ni mzima wa afya na anachapa kazi au unamzungumzia Majaliwa mwingine ambae mimi simjui?
Msameheni bure. Kazi yake ya Uwaziri Mkuu ni ngumu.Huyu kiumbe muongo sana
Majaliwa hafai. Tumsahau kabisa. Lukuvi sawa, anakubalika.Nawaza tu hapa nikiwa Lindoni, natafakari ikiwa Mheshimiwa Samia Suluhu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ataamua kumteua Kassim Majaliwa mbunge na Waziri Mkuu kuwa Makamu wa Rais na William Lukuvi kuwa Waziri Mkuu, tutapata combination ngumu yenye speed ya ajabu.
Watumishi ambao watendaji wazembe watasema bora Magufuli alikuwa na huruma.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Unamzungumzia Majaliwa yupi?Huyuhuyu aliedanganya Taifa kuwa Rais ni mzima wa afya na anachapa kazi au unamzungumzia Majaliwa mwingine ambae mimi simjui?