Baada ya Kifo cha Rais Magufuli: Nani anafaa kuwa Makamu wa Rais Tanzania?
Poleni sana Watanzania wenzangu kwa kuondokewa na Rais wetu kipenzi. Mungu amlaze mahali pema peponi, Amina.

Kutokana na hali ilivyo, automatically Mama Samia aliyekuwa Makamu wa Rais ndio anakuwa Rais kamili kwa kipindi cha miaka minne iliyobaki.

Je, nani anayefaa kuwa Makamu wa Rais ukizingatia kuwa lazima atoke Bara kwani Mama Samia ametokea Zanzibar?

R.I.P Magufuli.
Mashimba mashauri Ndaki,waziri wa mifugo na uvuvi anafaa sana kwenye hio nafasi
 
Makamu wa rais hana tofaut na ceremonial leader
Ningekuwa mshauri wa Mama Samia, ningemteua P. Kabudi kuwa VP na kumuongezea majukumu ya kufuatilia miradi mikubwa yote mpaka ikamilike. Anajua jinsi ya kubanana na mafisadi.
 
Mtingaji kweli mkuu naomba Mungu usiku na mchana tusije rudi kama enzi za Jk maisha yalikuwa mabaya sana sitaki hata kukumbuka

Nilikuwa si ipendi ccm kama nini ila Magu Mungu alimsaidia hakika alituonesha njia sahihi hata mzee mwinyi amekili kabisa
R.I.P MAGU Mungu akupe pumziko la milele😭😭😭
 
Meko ?
Wewe utakuwa mpishi wake labda
 
Wewe January Makamba hufua kuwa makamo wa Rais, vinginevyo rejesha kwanza tsh bil 1 ulizoiba NSSF.
 
Moja kwa moja kwenye bandiko

Kuna mtifuano gani humo ndani wakumpata Makamu wa Raisi kesho Raisi anakwenda kupokea Report ya CAG bila kumpata Makumu wa Raisi

Za chini yakapeti majina matano yamebakia kwenye mchujo...

Update..
 
Back
Top Bottom