satininus
Senior Member
- Feb 11, 2021
- 135
- 171
Unataka timu isomeke hivi:-Humjui hata Bashiru unayemzungumzia.. Ficha Ujinga wako.
1. Samia S HASSAN
2. Bashiru ALLY
2. Majaliwa KASSIM
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unataka timu isomeke hivi:-Humjui hata Bashiru unayemzungumzia.. Ficha Ujinga wako.
Mashimba mashauri Ndaki,waziri wa mifugo na uvuvi anafaa sana kwenye hio nafasiPoleni sana Watanzania wenzangu kwa kuondokewa na Rais wetu kipenzi. Mungu amlaze mahali pema peponi, Amina.
Kutokana na hali ilivyo, automatically Mama Samia aliyekuwa Makamu wa Rais ndio anakuwa Rais kamili kwa kipindi cha miaka minne iliyobaki.
Je, nani anayefaa kuwa Makamu wa Rais ukizingatia kuwa lazima atoke Bara kwani Mama Samia ametokea Zanzibar?
R.I.P Magufuli.
Itakuwa vizuri sana miradi yote ya Magu inaweza malizika.
Acha kuturudisha kwenye team ya wapenda Safari. Tunataka mtu mwenye courage ya KUSIMAMIA MIRADI ILIYO ANZISHWA IISHE. VP AWE JEMEDARI PARAMAGAMBA KABUDI-Mtu asiyecheka na wezi.Wafumuliwe wote wampe uwaziri mkuu makamba
Ukimjumlisha na RC. Chalamila wapewe certificate kabisa. Walitudanganya watanzania wakati jiwe mwenyewe alisha sema watanzania siyo wajinga!Huyu kiumbe muongo sana.
Ningekuwa mshauri wa Mama Samia, ningemteua P. Kabudi kuwa VP na kumuongezea majukumu ya kufuatilia miradi mikubwa yote mpaka ikamilike. Anajua jinsi ya kubanana na mafisadi.Makamu wa rais hana tofaut na ceremonial leader
Lisu ni nani?Sawa, subiri Lissu awe VP maana hajaharibiwa na meko.
Meko ?Mtingaji kweli mkuu naomba Mungu usiku na mchana tusije rudi kama enzi za Jk maisha yalikuwa mabaya sana sitaki hata kukumbuka
Nilikuwa si ipendi ccm kama nini ila Magu Mungu alimsaidia hakika alituonesha njia sahihi hata mzee mwinyi amekili kabisa
R.I.P MAGU Mungu akupe pumziko la milele😭😭😭
hakika.Ningekuwa mshauri wa Mama Samia, ningemteua P. Kabudi kuwa VP na kumuongezea majukumu ya kufuatilia miradi mikubwa yote mpaka ikamilike. Anajua jinsi ya kubanana na mafisadi.
Majina yenyewe hayo 5 hunaMoja kwa moja kwenye bandiko
Kuna mtifuano gani humo ndani wakumpata Makamu wa Raisi kesho Raisi anakwenda kupokea Report ya CIG bila kumpata Makumu wa Raisi
Za chini yakapeti majina matano yamebakia kwenye mchujo...
Update..
VP Ni Bw. Emmanuel Nchimbi.
Bwana fulani keshasema tayari
Ana majina hewaMajina yenyewe hayo 5 huna
Mizengo Pinda ? Ni ngumu sana muda wake ushapita ameshahudumu nafasi ya Waziri Mkuu kwa miaka 7,aendelew tu kulea wajukuiMizengo Peter Pinda.
Elias Kwandikwa
Emanuel Nchimbi
Thank Me later