Baada ya Kifo cha Rais Magufuli: Nani anafaa kuwa Makamu wa Rais Tanzania?
Wakati wa wapiga RAMLI huu!!! Kikwete atakwenda na majina yake tena si amezoea!!
Kama kawaida, mzee wa Msoga na mazingaombwe yake. Yeye ni mfitini mzuri, lazima atakuja na majina yake mfukoni. Safari hii usishangae jina la Ridhwani Kikwete, Mama Salma Kikwete, January Makamba yakawepo kwenye orodha yake.

Yule dingi ni tapeli fulani hivi wa kiswahili.
 
Kukata mzizi wa fitina wasimkaribishe kwenye vikao; na hivyo vikao vifanyike Dodoma na sio Dar!
 
Mama yetu tunakusihi, umpendekeze mwanamke atakayekusaidia katika kazi za Urais. Kufanya hivyo utaiheshimisha Tanzania na pia utaepuka makundi ya wanamtandao.

Chukua toka sekta binafsi ili upate msaidizi mtendaji asiye mwanasiasa. Tunahitaji kumaliza miradi ya kimkakati mapema na kuanzisha mpya.

Hawa wanasiasa ukiwateua watendeleza siasa za kutafuta Urais 2030 na watatuchelewesha Tunakuamini mama yetu
 
Mama yetu tunakusihi, umpendekeze mwanamke atakayekusaidia katika kazi za Urais. Kufanya hivyo utaiheshimisha Tanzania na pia utaepuka makundi ya wanamtandao.Chukua toka seta binafsi ili upate msaidizi mtendaji asiye mwanasiasa. Tunahitaji kumaliza miradi ya kimkakati mapema na kuanzisha mpya. Hawa wanasiasa ukiwateua watendeleza siasa za kutafuta Urais 2030 na watatuchelewesha Tunakuamini mama yetu
Taratibu za nchi ni kuwa makamo wa nchi lazima atokee kwenye chama tawala.

Chama ndio kitampa majina.
sijui chagua sekta binafsi.. sijui nini.. hamna hiyo
 
taratibu za nchi ni kuwa makamo wa nchi lazima atokee kwenye chama tawala.
chama ndio kitampa majina.
sijui chagua sekta binafs.. sijui nn.. hmna hiyo.
Huyu hajitambui, katiba inaelezea vizuri kabisa.
 
Mama yetu tunakusihi, umpendekeze mwanamke atakayekusaidia katika kazi za Urais. Kufanya hivyo utaiheshimisha Tanzania na pia utaepuka makundi ya wanamtandao.Chukua toka seta binafsi ili upate msaidizi mtendaji asiye mwanasiasa. Tunahitaji kumaliza miradi ya kimkakati mapema na kuanzisha mpya. Hawa wanasiasa ukiwateua watendeleza siasa za kutafuta Urais 2030 na watatuchelewesha Tunakuamini mama yetu
Andiko lako Lina Jambo muhimu but pia wapo wanaume wasiokua wanasiasa na watendaji wazuri, tz ina watu mil 50 so tutakosaje kwa mfano mpaka ateuliwe mwanamke,
 
Mama yetu tunakusihi, umpendekeze mwanamke atakayekusaidia katika kazi za Urais. Kufanya hivyo utaiheshimisha Tanzania na pia utaepuka makundi ya wanamtandao.Chukua toka seta binafsi ili upate msaidizi mtendaji asiye mwanasiasa. Tunahitaji kumaliza miradi ya kimkakati mapema na kuanzisha mpya. Hawa wanasiasa ukiwateua watendeleza siasa za kutafuta Urais 2030 na watatuchelewesha Tunakuamini mama yetu
Ungesema unahitaji namba ya mh rais tukupatie basi kuliko kuanza kujipendekeza huku jf.
 
Back
Top Bottom