Mkuu nimecheka sana
 
Tanzania haina dini, hatuchaguani kwa mujibu wa dini zetu.
Usitupeleke huko, .
Mbona Viongozi wakuu wa nchi wanapokuwa Wakiristo watupu huoni kuwa ni tatizo?
Na waislamu walikuwa wanaugulia chini kwa chini ,lakini waliogopa kuvunja umoja wa kitaifa kwa kauli mbiu kuwa Tanzania haina dini.

Vumilia uongozwe na Maustazi na Mashehe.
Hili ni taifa letu sote.
 
Nitajie ni mwaka upi viongozi wakuu yaani Rais, Makamu wa Rais, na Waziri Mkuu walikuwa wakristo wote.

NITAJIE.
 
Wakuu, sina uhakika kama dockta alijiunga na Chama Cha Mapinduzi kama yule dada ambaye ni mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro.
Kama ni mwanachama wa CCM tayari basi anafaa kuwa Makamu wa Raisi wa nchi yetu labda tu pawe na vigezo vingine.
Nawasilisha.
 
Pole mkuu, umechelewa kuleta jina kwenye mapendekezo, mchakato wa kumpata makamu wa rais umeshasogea karibu mwisho kabisa, yani ameshapatikana imebakia kutangazwa tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…