Baada ya Kifo cha Rais Magufuli: Nani anafaa kuwa Makamu wa Rais Tanzania?
Kama kawaida, mzee wa Msoga na mazingaombwe yake. Yeye ni mfitini mzuri, lazima atakuja na majina yake mfukoni. Safari hii usishangae jina la Ridhwani Kikwete, Mama Salma Kikwete, January Makamba yakawepo kwenye orodha yake.

Yule dingi ni tapeli fulani hivi wa kiswahili.
Mkuu nimecheka sana
 
Katiba imebadilishwa lini kutoka CAG mpaka CIG.

Duuh kweli kifo cha Magu kitabadilisha mambo mengi sana
Kumeumana huko Lumumba mkuu..
Screenshot_20210328-125203.jpg
 
Pale anapaswa kuwepo Mkristo, haiwezekani

-Rais Muislam
-Makamu wa Rais Muislam
-Waziri Mkuu Muislam
-Rais wa Zanzibar Muislam
-Makamu wa Rais Zanzibar Muislam
-Katibu Mkuu kiongozi bara Muislam
-Katibu Mkuu kiongozi zanzibar Muislam
-Mawaziri wote Zanzibar Waislam

Its better awe fair.
Tanzania haina dini, hatuchaguani kwa mujibu wa dini zetu.
Usitupeleke huko, .
Mbona Viongozi wakuu wa nchi wanapokuwa Wakiristo watupu huoni kuwa ni tatizo?
Na waislamu walikuwa wanaugulia chini kwa chini ,lakini waliogopa kuvunja umoja wa kitaifa kwa kauli mbiu kuwa Tanzania haina dini.

Vumilia uongozwe na Maustazi na Mashehe.
Hili ni taifa letu sote.
 
Tanzania haina dini, hatuchaguani kwa mujibu wa dini zetu.
Usitupeleke huko, .
Mbona Viongozi wakuu wa nchi wanapokuwa Wakiristo watupu huoni kuwa ni tatizo?
Na waislamu walikuwa wanaugulia chini kwa chini ,lakini waliogopa kuvunja umoja wa kitaifa kwa kauli mbiu kuwa Tanzania haina dini.

Vumilia uongozwe na Maustazi na Mashehe.
Hili ni taifa letu sote.
Nitajie ni mwaka upi viongozi wakuu yaani Rais, Makamu wa Rais, na Waziri Mkuu walikuwa wakristo wote.

NITAJIE.
 
Wakuu, sina uhakika kama dockta alijiunga na Chama Cha Mapinduzi kama yule dada ambaye ni mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro.
Kama ni mwanachama wa CCM tayari basi anafaa kuwa Makamu wa Raisi wa nchi yetu labda tu pawe na vigezo vingine.
Nawasilisha.
 
Pole mkuu, umechelewa kuleta jina kwenye mapendekezo, mchakato wa kumpata makamu wa rais umeshasogea karibu mwisho kabisa, yani ameshapatikana imebakia kutangazwa tu!
 
Back
Top Bottom