Ila inawezekana kweli Dr Leonard Chamihiro anaweza kupewa umakamu Rais. Kwa jinsi nilivyo ona mujadala mzito baada ya kuanza kwa rumaz za kifo chake
Huyo hana exposure kubwa ya uongozi na siasa. Zaidi ni mwanazuoni. Hafai hata kidogo.
 
Umerogwa wewe,kwa taarifa yako safari hii wasukuma mnasukumwa pembeni
Hata kama huwapendi kisiasa huwezi ukatupilia mbali Mikoa tisa, Mara, Mwanza, Shinyanga, Simiyu,Geita, Tabora, Rukwa, Kagera kwa sababu yeyote ile. Utawala ni siasa. Hata kama huwapendi.
 
 
Hata kama huwapendi kisiasa huwezi ukatupilia mbali Mikoa tisa, Mara, Mwanza, Shinyanga, Simiyu,Geita, Tabora, Rukwa, Kagera kwa sababu yeyote ile. Utawala ni siasa. Hata kama huwapendi.
Wasukuma mlie tu na kama watakuwepo ni kwenye nafasi za kawaida tu.

Ngazi ya urais au makamu msahau kabisa
 
Wasukuma mlie tu na kama watakuwepo ni kwenye nafasi za kawaida tu .
Ngazi ya urais au makamu msahau kabisa
Mmawia wewe uko kwenye mipasho ni sio kujadili substance, sisi tunautaka sana Kilimanjaro, lakini jee wewe unaweza kuwatupa waliokupa kura asilimia 67% ya kura zote nchi nzima? Unawatawala watu au nyani?
 
Hivi mkuu kweli unafatilia hata katiba ya nchi yako? Mtu akishakuwa Rais wa JMT hawezi kushika madaraka yoyote ya kiutumishi serikalini akishastaafu.

Jakaya Kikwete awe makamu wa Rais seriously?
Siijui katiba yote, lakn angefaa

Vipi, wale waliokuwa wakiseema katiba ibadikishwe kusiwe na ukomo, hawakuwa wanaisoma katiba ya nchi kama mm?
 
Mwenye dola ndo anashika nchi. Tunahitaji tume huru, katiba mpya. Tunahitaji ambaye atajenga umoja wa kitaifa. Na huyu ni TAL

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmawia wewe uko kwenye mipasho ni sio kujadili substance, sisi tunautaka sana Kilimanjaro, lakini jee wewe unaweza kuwatupa waliokupa kura asilimia 67% ya kura zote nchi nzima? Unawatawala wala au nyani?
Hizo kura mgekuwa mmezipata kihalali hoja yako ingekuwa na mashiko.

Wewe mwenyewe unajua kuwa kura mliziiba tu.

Kipindi cha mzee Mwinyi mbona hakuteua msukuma kuwa VP?

Wacha kujidanganya nakushauri kubali matokeo hata kama mtapatiwa angalau waziri atawatosha.
 
Nakuunga mkono
 
Makamu sio lazima atoke bara
 
Hakika,lkn kwa mawazo yangu Bashiru ,Mwigulu hao ni watu hawafai kabisa kuwepo kwenye level ya urais maana akili zao ni zilezile tu za kibaguzi
mi naona CCM iweke ma kando kando yao pembeni wampe tu kijana January Makamba - hasa wakikumbuka alikuwa kwenye top 5 wakati wa kumsaka Rais wa Tanzania... na ana uwezo mkubwa ukilinganisha na hao walamba viatu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…