Baada ya Kifo cha Rais Magufuli: Nani anafaa kuwa Makamu wa Rais Tanzania?
Ila inawezekana kweli Dr Leonard Chamihiro anaweza kupewa umakamu Rais. Kwa jinsi nilivyo ona mujadala mzito baada ya kuanza kwa rumaz za kifo chake
Huyo hana exposure kubwa ya uongozi na siasa. Zaidi ni mwanazuoni. Hafai hata kidogo.
 
Umerogwa wewe,kwa taarifa yako safari hii wasukuma mnasukumwa pembeni
Hata kama huwapendi kisiasa huwezi ukatupilia mbali Mikoa tisa, Mara, Mwanza, Shinyanga, Simiyu,Geita, Tabora, Rukwa, Kagera kwa sababu yeyote ile. Utawala ni siasa. Hata kama huwapendi.
 
Poleni sana Watanzania wenzangu kwa kuondokewa na Rais wetu kipenzi. Mungu amlaze mahali pema peponi, Amina.

Kutokana na hali ilivyo, automatically Mama Samia aliyekuwa Makamu wa Rais ndo anakuwa Rais kamili kwa kipindi cha miaka minne iliyobaki.

Je, nani anayefaa kuwa Makamu wa Rais ukizingatia kuwa lazima atoke Bara kwani Mama Samia ametokea Zanzibar?

Mimi binafsi nahisi Mheshimiwa January Makamba anafaa sana kuchukua hiyo nafasi ukizingatia ameshafanya kazi kwa karibu na Mama Samia kwa muda mrefu kipindi akiwa Waziri.

...mkuu kwa uelewa wangu makamu hawezi kuongoza taifa miaka minne iliobaki isipokuw atakalia kiti cha rais kwa siku 90 wakati tume ya taifa ikiandaa taratibu za uchaguzi...yeye atabakia kuwa makamu
 
Hata kama huwapendi kisiasa huwezi ukatupilia mbali Mikoa tisa, Mara, Mwanza, Shinyanga, Simiyu,Geita, Tabora, Rukwa, Kagera kwa sababu yeyote ile. Utawala ni siasa. Hata kama huwapendi.
Wasukuma mlie tu na kama watakuwepo ni kwenye nafasi za kawaida tu.

Ngazi ya urais au makamu msahau kabisa
 
Wasukuma mlie tu na kama watakuwepo ni kwenye nafasi za kawaida tu .
Ngazi ya urais au makamu msahau kabisa
Mmawia wewe uko kwenye mipasho ni sio kujadili substance, sisi tunautaka sana Kilimanjaro, lakini jee wewe unaweza kuwatupa waliokupa kura asilimia 67% ya kura zote nchi nzima? Unawatawala watu au nyani?
 
Hivi mkuu kweli unafatilia hata katiba ya nchi yako? Mtu akishakuwa Rais wa JMT hawezi kushika madaraka yoyote ya kiutumishi serikalini akishastaafu.

Jakaya Kikwete awe makamu wa Rais seriously?
Siijui katiba yote, lakn angefaa

Vipi, wale waliokuwa wakiseema katiba ibadikishwe kusiwe na ukomo, hawakuwa wanaisoma katiba ya nchi kama mm?
 
Mkuu, JokaKuu - kama Taifa letu serious kufuata nyayo za Baba wa Taifa pamoja na mzalendo wa kweli ,mfatiliaji mahili na mchukia rushwa na ufisadi - binafsi naona kiumbe ambaye ana fit the bill ni "Bashiru A. Kakurwa" akiteuliwa kuwa Makamu wa Rais kumsaidia a no nosense mama S. Hassan hao wawili ndio watasimamia to the letter mipango yote iliyo anzishwa na Mzalendo JPM na team yake, tukumbuke vile vile kwanba Kakurwa ana traits zote za Mwalimu Nyerere na JPM na kizuri zaidi hana makuu au kutaka kujikweza.

Waziri Mpango aendelea kusimamia Wizara yake anbayo aneonyesha umahili mkubwa wa kuisimamia na kwa kuwa Wizara yenyewe ndio life line ya Taifa letu - Waziri Mpango kama walivyo mama S.Hassan na Kakurwa hawana makuu au kutaka kujikweza au kuwapa leeway mafisadi ku-hold at ramsom Taifa letu they are as ckean as a whistle.Hayo ni maoni yangu I might be wrong.
Mwenye dola ndo anashika nchi. Tunahitaji tume huru, katiba mpya. Tunahitaji ambaye atajenga umoja wa kitaifa. Na huyu ni TAL

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmawia wewe uko kwenye mipasho ni sio kujadili substance, sisi tunautaka sana Kilimanjaro, lakini jee wewe unaweza kuwatupa waliokupa kura asilimia 67% ya kura zote nchi nzima? Unawatawala wala au nyani?
Hizo kura mgekuwa mmezipata kihalali hoja yako ingekuwa na mashiko.

Wewe mwenyewe unajua kuwa kura mliziiba tu.

Kipindi cha mzee Mwinyi mbona hakuteua msukuma kuwa VP?

Wacha kujidanganya nakushauri kubali matokeo hata kama mtapatiwa angalau waziri atawatosha.
 
January Makamba

Advantage ana misimamo akisema A ni A hakuna kingine.

Disadvantage anawaza upuuzi sana kichwani kwake saa zingine, not realistic on priorities za 3 world country.

Huyo mtu hafai kwa nchi inayotaka kujikomboa kiuchumi, he never saw eye to eye na Magufuli.

NEMC kutoa vibali vya go ahead chini yake ilikuwa shida. Yote kutokana na upuuzi wake wa extensive environmental impact assessment zinazo chukua muda mrefu kukamilika.

Makamu wa raisi apewe Kassim Majaliwa alimuelewa Magufuli.
Nakuunga mkono
 
Makamu sio lazima atoke bara
Poleni sana Watanzania wenzangu kwa kuondokewa na Rais wetu kipenzi. Mungu amlaze mahali pema peponi, Amina.

Kutokana na hali ilivyo, automatically Mama Samia aliyekuwa Makamu wa Rais ndo anakuwa Rais kamili kwa kipindi cha miaka minne iliyobaki.

Je, nani anayefaa kuwa Makamu wa Rais ukizingatia kuwa lazima atoke Bara kwani Mama Samia ametokea Zanzibar?

Mimi binafsi nahisi Mheshimiwa January Makamba anafaa sana kuchukua hiyo nafasi ukizingatia ameshafanya kazi kwa karibu na Mama Samia kwa muda mrefu kipindi akiwa Waziri.

R.I.P Magufuli.
 
Hakika,lkn kwa mawazo yangu Bashiru ,Mwigulu hao ni watu hawafai kabisa kuwepo kwenye level ya urais maana akili zao ni zilezile tu za kibaguzi
mi naona CCM iweke ma kando kando yao pembeni wampe tu kijana January Makamba - hasa wakikumbuka alikuwa kwenye top 5 wakati wa kumsaka Rais wa Tanzania... na ana uwezo mkubwa ukilinganisha na hao walamba viatu.
 
Back
Top Bottom