Makamu wa Raisi ndiye atakuwa mgombea mwenza 2025 anatakiwa kuchaguliwa kimakini awe clean tuhuma za kifisadi ziwe zero na afya na umri uangaliwe pamoja na utendaji wa kutukuka
Prof. Kabudi angefaa kuwa makamu wa rais lkn yeye mtu wa dodoma mkoa mmoja na spika ndugai. Ni vema tukawa na uwiano katika mgawo sawa wa vyeo kwa umoja wa kitaifa.
 

Kwa hapa nakubaliana na ww kabisa. Sina tatizo na ukweli huu uliuosema hapa. Na kiongozi wa huo udhalimu wote alikuwa jiwe.
 
Prof. Kabudi angefaa kuwa makamu wa rais lkn yeye mtu wa dodoma mkoa mmoja na spika ndugai. Ni vema tukawa na uwiano katika mgawo sawa wa vyeo kwa umoja wa kitaifa.

Kwa taarifa yako hata kama Kabudi angekuwa anatoka kilomita 1,000 toka viongozi wengine, hakuna mtu mjinga kama yeye. Na yeye ni sehemu ya ujinga wote uliojitokeza chini ya Magufuli. Angesimama kwenye mstari wa haki, Magufuli asingeweza kuendesha nchi hii kwa kutegemea weakness zake.
 
Makamu wa Raisi ndiye atakuwa mgombea mwenza 2025 anatakiwa kuchaguliwa kimakini awe clean tuhuma za kifisadi ziwe zero na afya na umri uangaliwe pamoja na utendaji wa kutukuka

Jamani tupunguzeni utamaduni wa kufikiria wagombea kila siku uchaguzi ni miezi tu imepita tunaanza kuongelea wagombea wa miaka mitano ijayo! Lini tutafanya kazi kama mawazo kila siku ni nani mgombea badala ya nani anafanya kazi nzuri
 
Habarini wakuu,

Naomba kufahamulishwa wale waliokuwa wanasema bila Kuwepo Mh. Rais magufuli nchi haiendi wanapatikana upande gani?.

Naomba kuwasilisha kwa unyenyekevu mkubwa.
 
Na mkikosea tu kwenye uteuzi wa huyo Makamu wa Rais, basi 2025 mjiandae kusulubika! Mbaya zaidi yule mliye mtegemea hayupo tena!

Hakika patachimbika.
CCM huwa hatukosei tutawapa mgombea wa CCM upinzani tuliwapa Mbowe baadaye CCM tukawapa Slaa tukawapa Lowasa 2020 CCM Tukawapa mnaowaita Covid wabunge

mnataka nini tena CCM tunao kibao huko Chadema tuwape nani mgombea 2025?
 
Just for fun? Amefanya nini cha maana kinachompa credit? Tupe vigezo vya kiutendaji vya kumpimia!
Siasa cha ujanja ujanja tupa kule!
Ndiye alituisaidia kuchakachua kura 2015 tukamuibia luwasa kura zake,au nasema uongo ndugu zangu?
 
Poleni sana Watanzania wenzangu kwa kuondokewa na Rais wetu kipenzi. Mungu amlaze mahali pema peponi, Amina....
William Lukuvi ambaye ni mtu pekee ambaye hakuonyesha ujinga wa kujipendekeza kulikokithiri na ameonyesha utendaji uliotukuka katika wizara ya ardhi
 
S
He is innocent hana tuhuma za kipumbavu wala hajawahi kukutwa na scandals za uwizi kama wa makonda
Nyie wana ufipa si ndio huwa mnasema January Makamba, Mwigulu Nchemba na Nape ndio waliopora kura za Chademu mwaka 2015. Sasa leo tena huyu Njaanuary amekuwa mtakatifu tena? Ama kweli miafrika basi tu Mungu ndiye anajua alivyowaumba!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…