Yes hata mimi nimewaza, serikali ya maridhianoAntipas
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes hata mimi nimewaza, serikali ya maridhianoAntipas
Wale waliounga juhudi sijui itakuwaje.Bila shaka kwa nafasi hii watu hawalali, Lumumba na viunga vyake, baraza la Mawaziri nalo lipo tumbo joto maana lazima pangua pangua itakuwepo, kwa nafasi ya VP hapo January ndio chaguo la mama, kiufupi CCM ya asilia inarudi, MATAGA mwisho rasmi umefika.
Nape Nnauye.Mwigulu Nchemba.
Palamagamba Kabudi.
Phillip Mpango.
Itanyamazisha kelele zoteYes hata mimi nimewaza,serikali ya maridhiano
January is not presdential material yeye ni mtoto wa mjini tu na ana wafuasi kama yeye.Umewaza kama mimi Chief, namuona January akienda kushine tena, japo inaweza isiwe kirahisi sana.
Viti vya Wahudhuriaji wa Msiba havijapangwa bado hadi Ratiba ya Msiba ( Mazishi ) haijapangwa tayari mmeshaanza kuja na hopeless Speculations zenu, hivi mkiambiwa nyie ni Wachawi mtabisha au Kukataa?
Tulikuaga na Jakaya na Shein, Jakaya na Gharib Bilali..Kigezo cha kwanza kwenye majina lazima awe mkristo ili kubalance haiwezekani wote wakawa waislamu haya tuanze upya kufikiria
Mwigulu saw this coming akaanza jifanya mkarimu mtandaoniBila shaka kwa nafasi hii watu hawalali, Lumumba na viunga vyake, baraza la Mawaziri nalo lipo tumbo joto maana lazima pangua pangua itakuwepo, kwa nafasi ya VP hapo January ndio chaguo la mama, kiufupi CCM ya asilia inarudi, MATAGA mwisho rasmi umefika.
Tena wanga sana hawa Wakubwa, huyu aliye anzisha hii post/thread anatakiwa awe wodini pale milembe-wodi namba 5, maana si kwa mawenge haya! Hatuja zika wewe unakuja ushuzi huu wa kipumbavu, hebu acheni banaaa!Viti vya Wahudhuriaji wa Msiba havijapangwa bado hadi Ratiba ya Msiba ( Mazishi ) haijapangwa tayari mmeshaanza kuja na hopeless Speculations zenu, hivi mkiambiwa nyie ni Wachawi mtabisha au Kukataa?
Yaaaaaap mkuu mambo yarud kama zamanRais Pwani na makamu wa Rais iwe Pwani tena?
Huyu aliiba mitihani galanos akafukuzwa akarudia forest Moro. Hi inam disgualify.Umewaza kama mimi Chief, namuona January akienda kushine tena, japo inaweza isiwe kirahisi sana.
Acha kabisa huyu mtu anakosa sapot tu lakini bonge la kiburudisho kama CocacolaAntipas
Ukabila, bila haya Anyway ni wakati wa msiba sasaNasikia Wasukuma wanataka hiyo nafasi kwa udi na uvumba.Waziri wa ujenzi ndio chaguo lao ikishindikana basi hata Askofu Rashid au Makonda.
Shangaa na wewe, kuna watu wana roho za kichawi sana.Viti vya Wahudhuriaji wa Msiba havijapangwa bado hadi Ratiba ya Msiba ( Mazishi ) haijapangwa tayari mmeshaanza kuja na hopeless Speculations zenu, hivi mkiambiwa nyie ni Wachawi mtabisha au Kukataa?