Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,916
- 40,479
Pale anapaswa kuwepo Mkristo, haiwezekaniPoleni sana Watanzania wenzangu kwa kuondokewa na Rais wetu kipenzi. Mungu amlaze mahali pema peponi, Amina...
-Rais Muislam
-Makamu wa Rais Muislam
-Waziri Mkuu Muislam
-Rais wa Zanzibar Muislam
-Makamu wa Rais Zanzibar Muislam
-Katibu Mkuu kiongozi bara Muislam
-Katibu Mkuu kiongozi zanzibar Muislam
-Mawaziri wote Zanzibar Waislam
-Mwanasheria Mkuu bara Muislam
-Mwanasheria Mkuu Zanzibar Muislam
Is this a secular state?
Its better awe fair.