Baada ya Kifo cha Rais Magufuli: Nani anafaa kuwa Makamu wa Rais Tanzania?
Poleni sana Watanzania wenzangu kwa kuondokewa na Rais wetu kipenzi. Mungu amlaze mahali pema peponi, Amina...
Pale anapaswa kuwepo Mkristo, haiwezekani

-Rais Muislam
-Makamu wa Rais Muislam
-Waziri Mkuu Muislam
-Rais wa Zanzibar Muislam
-Makamu wa Rais Zanzibar Muislam
-Katibu Mkuu kiongozi bara Muislam
-Katibu Mkuu kiongozi zanzibar Muislam
-Mawaziri wote Zanzibar Waislam
-Mwanasheria Mkuu bara Muislam
-Mwanasheria Mkuu Zanzibar Muislam

Is this a secular state?

Its better awe fair.
 
Vip hizi siku 14 kazi zitaendelea kama kawaida au?
 
Mi nashauri Mh. Samia amtafute makamu wake ambaye ni mchumi mmbobezi ambaye amtamsaidia kuurudisha uchumi kwenye mstari, lakini mtu mwenye ufahamu wa diplomasia vizuri itamsaidia pia kuurudisha mahusiano na nchi marafiki na mwisho mtu walau mwenye uzoefu wa shughuli za serikali.

Possible candidates include former CAG, former Katibu mkuu kiiongozi Sefue,

Proffesor Mkenda, Mizengo Pinda.

Mheshimiwa aepuke kutea makada ambao wanaweka chama mbele na sio taifa
 
1. Jakaya Mrisho Kikwete, apewe umakamu wa rais

2. Butiku

3. Kimei

4. Kinana

5. Warioba

6. Prof Muhongo

7. Makinda

7. Mwamunyange

8. Lissu

9. Chikawe

10. Mwandosya

Hao akina January, mwigulu sijui kabudi bado sana. Anatakiwa mkongwe na mwenye busara ya kumwongoza mama kuliweka taifa pazuri
 
Kumuongoza mama vipi tena nae mama ndio rais?

Yes, lazma anatakiwa awe na watu ambao ni guru na ambao waliwahi kuwa kwny serikali mda mrefu ambao wana uwezo wa kumwambia mama, uamuzi huo siyo sahihi ila huu ndiyo sahihi
 
Back
Top Bottom