Viti vya Wahudhuriaji wa Msiba havijapangwa bado hadi Ratiba ya Msiba ( Mazishi ) haijapangwa tayari mmeshaanza kuja na hopeless Speculations zenu, hivi mkiambiwa nyie ni Wachawi mtabisha au Kukataa?

Balozi Mahiga alifariki tar 1 May 2020, kesho yake tar 2 May Rais akamteua Nchemba kuziba hiyo nafasi (kabla hata ya mazishi).

Naamini huko Magufuli aliko, angependa tumuenzi kwa kuziba nafasi hizo haraka sana tena kabla ya mazishi.
 
Mwigulu saw this coming akaanza jifanya mkarimu mtandaoni
 
Viti vya Wahudhuriaji wa Msiba havijapangwa bado hadi Ratiba ya Msiba ( Mazishi ) haijapangwa tayari mmeshaanza kuja na hopeless Speculations zenu, hivi mkiambiwa nyie ni Wachawi mtabisha au Kukataa?
Tena wanga sana hawa Wakubwa, huyu aliye anzisha hii post/thread anatakiwa awe wodini pale milembe-wodi namba 5, maana si kwa mawenge haya! Hatuja zika wewe unakuja ushuzi huu wa kipumbavu, hebu acheni banaaa!
 
Nasikia Wasukuma wanataka hiyo nafasi kwa udi na uvumba.Waziri wa ujenzi ndio chaguo lao ikishindikana basi hata Askofu Rashid au Makonda.
Ukabila, bila haya Anyway ni wakati wa msiba sasa
 
Viti vya Wahudhuriaji wa Msiba havijapangwa bado hadi Ratiba ya Msiba ( Mazishi ) haijapangwa tayari mmeshaanza kuja na hopeless Speculations zenu, hivi mkiambiwa nyie ni Wachawi mtabisha au Kukataa?
Shangaa na wewe, kuna watu wana roho za kichawi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…