Mbeba Lawama
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 1,059
- 3,504
Alivyotudanganya vile....daaahMajaliwa aendelee tu uwaziri mkuu, VP nchimbi Hapo itakua poa
Ni nouma sana, kama kuna mtu aliifanya Serikali ya JPM ikose amani basi ni huyu Dada (Kigogo)Kigogo kashasema sisi nani tumpinge
i bet for chamulinho... coment hii iwekewe ulinz
Makamu ni Majaliwa..
Kigogo ni mwanaume fatilia post yake ya usiku huuNi nouma sana, kama kuna mtu aliifanya Serikali ya JPM ikose amani basi ni huyu Dada (Kigogo)
Hamna mtu hapa...Twende na... View attachment 1728960
Kumbe Kigogo anajulikana!? Kivipi ajiamini vile huyo jamaa?Ni nouma sana, kama kuna mtu aliifanya Serikali ya JPM ikose amani basi ni huyu Dada (Kigogo)
Na waziri mkuu ajaye jeMakamu ni Majaliwa..
Ujumbee umefikaDr. Emmamuel Nchimbi anapewa nafasi kubwa ya kuchukua mikoba ya Mama Samia Suluhu ambaye muda wowote kuanzia sasa ataapishwa kuwa Rais wa JMT... Nchimbi ameonekana kama mtu makini, mwenye uwezo na uzoefu katika utumishi.
Mbali na Nchimbi mwanasiasa mwingine anayetajwa ni William Lukuvi ambaye kwa sasa ni Waziri wa Ardhi.
Muda si mrefu nchi itapata Makamu wa Rais ambaye uteuzi wake utafanywa na Rais ajaye Mama Samia akishauriana na chama chake CCM. Tayari CCM kimeirisha kikao cha Kamati Kuu siku ya Jmosi
Anavyoandikaga huwa natafsiri kama muandiko wa kike, zile yaaani! yaani! naonaga kama wadada ndio wenye swaga zile, ila ni tafsiri tu maana amejua kulicheza shere.Kigogo ni mwanaume fatilia post yake ya usiku huu
Sijasema kwamba serikali ina dini. Najua kwamba serikali ya Tanzania haina dini. Ila jaribu usiwe too optimistic about human nature, theory inaweza kuwa tofauti na practice.How many times must we remind you? "SERIKALI HAINA DINI" repeat "Serikali haina DINI" - kinacho tafutwa ni uwezo wa kuchapa kazi, UBUNIFU kama wa JPM, elimu ya Chuo Kikuu ya moja kwa moja, udhubutu, kuwa na mahamuzi yenye msimamo bila ya kuyumba yumba, kuto ogopa lawama - kuendesha Taifa ki-fang fang kwa miaka mingine mitano tena emulating our hero JPM to the letter...
Majaliwa alishapoteza credibility, katika ku handle where about of Mr jiwe. So he can't be trusted.Makamu ni Majaliwa..