Baada ya Kifo cha Rais Magufuli: Nani anafaa kuwa Makamu wa Rais Tanzania?
Dr. Emmamuel Nchimbi anapewa nafasi kubwa ya kuchukua mikoba ya Mama Samia Suluhu ambaye muda wowote kuanzia sasa ataapishwa kuwa Rais wa JMT... Nchimbi ameonekana kama mtu makini, mwenye uwezo na uzoefu katika utumishi.

Mbali na Nchimbi mwanasiasa mwingine anayetajwa ni William Lukuvi ambaye kwa sasa ni Waziri wa Ardhi.

Muda si mrefu nchi itapata Makamu wa Rais ambaye uteuzi wake utafanywa na Rais ajaye Mama Samia akishauriana na chama chake CCM. Tayari CCM kimeirisha kikao cha Kamati Kuu siku ya Jmosi
Ujumbee umefika

Subiri muamala usomee
 
How many times must we remind you? "SERIKALI HAINA DINI" repeat "Serikali haina DINI" - kinacho tafutwa ni uwezo wa kuchapa kazi, UBUNIFU kama wa JPM, elimu ya Chuo Kikuu ya moja kwa moja, udhubutu, kuwa na mahamuzi yenye msimamo bila ya kuyumba yumba, kuto ogopa lawama - kuendesha Taifa ki-fang fang kwa miaka mingine mitano tena emulating our hero JPM to the letter...
Sijasema kwamba serikali ina dini. Najua kwamba serikali ya Tanzania haina dini. Ila jaribu usiwe too optimistic about human nature, theory inaweza kuwa tofauti na practice.
 
Back
Top Bottom