Forget it.

Simply watakwambia Katiba yetu hairuhusu serikali ya mseto.

Huyo mama akifanya hivyo itabidi ajitoe akili haswa, naamini hapo ndani ya chama chake tayari sasa hivi kuna vita ya chini chini inaendelea kupigania hiyo nafasi.
Chadema acheni kuhangaika, fuateni katiba, wapi katiba unasema Kuna serikali ya mseto? Jiungeni na ACT muunde SUK kule Zanzibar huku haipo kwenye katiba.
 
Hata kama haitakuwa hivyo Ila mawazo yako ni mazuri sana. Suala muhimu kuliko yote ili Samia atawale kwa utulivu ni National Reconciliation. Ambayo unaweza kuipata kwa njia hiyo ya kumleta VP wa upinzani japo Katiba hairuhusu.

Alternatively kwenye vile viti 8 vilivyobaki vya wabunge wa kuteuliwa na Rais, basi angalao viti 6 ateue wapinzani kama Lissu, Zitto, Mbowe, Mnyika, Lipumba etc

Magufuli alitutawala Kama Watusi na Wahutu wanavyotawalana. Amejenga chuki mbaya sana na vyama vya upinzani
 
wazo lako ni zuri sana ila kwa CCM hii haliwezekani kabisa, may be Kina Kikwete, Warioba, Mzee Matiku na Kina Pius Msekwa washirikishishew kuombwa maoni yao, kitua mbacho nakiona kina nafasi finyu pia.

CCM hii wanajifikiria wao tu (selfish), mambo ya mpasuko wa umoja wa kitaifa wao hawauoni umuhimu wake... na ndiyo wameshiriki moja kwa moja kulifikisha taifa hili hapa lilipo.
 
We ni duansi, bila Ujenzi kuna dunia ipi, ni wapi ambpo hapakujengwa, kma Ujenzi si kitu mbona unalala kwenye nyumba nenda ukaishi msituni basi.
Maisha bila KuBalance na maujenzi yako utaishia kufa njaa,duanzi wahedi!
 
poleni mnaodhani political supremacy imeisha. inshort kwa sasa imekomaa zaidi maana bunge ndo litapiga kura kuamua makamu akubalike au la na bunge ni la CCM kwa kiasi kikubwa

hivyo mama kazi anayo maana yoyote atakaepata influence ndani ya CCM bhasi kaidhibiti serikali pia
 
Mua40 ni katiba mpya
 
Mfugale yupo CCM kwani?
 
Lisu ni wakala wa Lucifer. Mtu anayeshangilia kifo na magonjwa/ maumivu ya wenzake, hafai kuwa Kiongozi. He is an absolute Sadist, gasho na wakala wa Mabeberu.

Jambo moja alijue, Mungu hadhihakiwi.
 
Kwa kuwa miradi mingi ya Magufuli asilimia 90 ilikuwa ni ya Ujenzi (Construction) ni vizuri ikamilishwe ili kutimiza hiyo ndoto yake, mtu pekee ambaye siyo mwana siasa na ambaye anaishi ndoto ya Magufuli ni huyu Mfugale...
Mfugale yupo CCM kwani?
 
Write your reply...Usitegemee makubwa au jipya nyani ni wale wale na pori ni lile lile tofauti ni watalii tu
 
Hatutaki watu wa kuendeleza ndoto za wafu. Twataka watu kuendeleza mahitaji ya Tanzania ya sasa na baadaye
One of the best statement nimewahi kusoma hapa.. umeongea jambo Pana Sana..binafsi Mimi hupenda kujiuliza ni nini zilikua dira za viongozi wa Zamani kama vile Nyerere na Karume katika kutekeleza mipango KAZI Yao?

Niliwahi kusikia kwamba Nyerere na washauri wake walipaona Dodoma ni katikati ya nchi na nirahisi kupafikia kutoka kila pembe ya nchi, later leaders wakawekeza Sana katika serikali za mitaa(TAMISEMI) ili watu wapatiwe Huduma walipo bila kuhitaji kuja serikali kuu (Teknolojia ikichangia zaidi)..

So conclusion yangu ya kusapoti wazo lako ni kwamba sio akili nzuri kutelekeza miradi/wazo iliyoanzishwa na watangulizi Kwa gharama kubwa Ila tutakua tunakosea Sana kama Taifa kutokurekebisha au kuboresha wazo Mama (mentality)kutokana na wakati na mahitaji ya SASA na mbeleni..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…