Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Chadema acheni kuhangaika, fuateni katiba, wapi katiba unasema Kuna serikali ya mseto? Jiungeni na ACT muunde SUK kule Zanzibar huku haipo kwenye katiba.Forget it.
Simply watakwambia Katiba yetu hairuhusu serikali ya mseto.
Huyo mama akifanya hivyo itabidi ajitoe akili haswa, naamini hapo ndani ya chama chake tayari sasa hivi kuna vita ya chini chini inaendelea kupigania hiyo nafasi.