Dkt MwakyembeNape Nnauye.
Lukuvi na makashfa yote hayo , halafu ngumbaru...
Kuna viherehere fulani ningetamani wafutwe kwenye uso wa siasa kabisa
1.ALLY APPI
2.MAKONDA
3.KENANY DC yule aliechapa wanafunzi
4.PROF MIJICHO KABUDI
5.Pro MPANGO
6.DOTTO WA HADHINA
Daah! Huyu atulie tu bench alivokuwa waziri alianza kurushiana maneno na vijana wa bongofleva. Hekima hanaDkt Mwakyembe
Fyekelea mbaliLukuvi ndo anaefaa
Prof majalala au kibajaji lusinde,msukuma ndio wanafaaPoleni sana Watanzania wenzangu kwa kuondokewa na Rais wetu kipenzi. Mungu amlaze mahali pema peponi, Amina...
Hawa wote ni ma born town wanafaa!Poleni sana Watanzania wenzangu kwa kuondokewa na Rais wetu kipenzi. Mungu amlaze mahali pema peponi, Amina....
Labda makamu wa rais wa lebo ya WASAFIKama ni aina ya kiongozi hii nchi inahitaji kwa sasa ni kaliba ya Paul makonda.Wanadaresalam watakumbuka walinyooshwa kisawasawa na huyu jamaa.Kikubwa alikuwa haiogopi mtu.Mtakumbuka wakati wa sakata la madawa matajiri maboss wakubwa waliipata fresh.Uongozi hutakiwi kuwa na rafiki.Kama wanaohusika wakiona huu uzi naomba wafanye maamuzi ya busara kwa mstakabali wa nchi yetu.
Paul Makonda yupi tena jamani!
Ama unamaanisha Daudi Paul makonda Bashite boi wa HOME SHOPPING CENTRE a. K.a GSM?
Hapa nadhani unamlenga kamanda msepaji!Unaweza ukawa msomi sana lakini ukakosa busara,