Makonda atafaa sana yupo church anasubiri dady ake afufuke siku ya pasaka😎
 
Najua kwa sasa mama Samia atakuwa na mambo mengi sana lakini ningemuomba kwenye darubini zake amuangalie huyu jamaa. Anaonekana ni mtu mwenye busara sana nje ya usomi wake.
Stupid ondoa usukuma hapa, ukabila ukanda and the like.
 
Huyo anaeza kuamka akafuta kila kitu kama alivyofuta Sherehe na Siku ya Wakulima mwaka 2021.Sasa ukiangalia sababu alizozitoa yaani unachoka kabisa. Hawezi arudi akashike Marker Pen au chaki tu.
 
Kwa maoni yangu Bwana Anthony Mtaka anafaa kuwa VP, kijana huyu hana makandokando nani mchapa kazi. Raisi Samia piga jicho hapo.Hasante
 
Kwa maoni yangu Bwana Anthony Mtaka anafaa kuwa VP, kijana huyu hana makandokando nani mchapa kazi. Raisi Samia piga jicho hapo.Hasante
Utashangaa linaletwa jitu kama Bashiru au Gwajiboy au Mimacho!

Mi nadhani angeteua mwanamke kabisa ili pale juu pawe level!
 
Kwa maoni yangu Bwana Anthony Mtaka anafaa kuwa VP, kijana huyu hana makandokando nani mchapa kazi. Raisi Samia piga jicho hapo.Hasante
Acha kujipigia chapuo, ulilewa vile visifa?
 
Utashangaa linaletwa jitu kama Bashiru au Gwajiboy au Mimacho...!
Mi nadhani angeteua mwanamke kabisa ili pale juu pawe level...!!
Ha ha ha haaaaa.. VP na PM wote wawe wanawake!
 
Mbona miaka ya nyuma kabla ya 2015 wanaume walijikweza wenyewe tu pale kileleni??
Ni kweli.. Ila kwa jinsi Bashiru alivyomganda Madam President nadhani atamsumbua sana kocha kupanga kikosi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…