Mpandisha mishahara
JF-Expert Member
- Mar 1, 2014
- 1,742
- 1,558
Wana umri gani?Umesahau marehemu aliwaambia Pro Kabudi na LUKUVI hawawezi kuwa katika kiti hicho kwa ajili ya umri? Umesahau hayati alivyowananga?
Wana umri gani?
Hayati nae si alikuwa na 61?61 na 63
Yale macho sasa si ndo yatakuwa kama hondohondo....Ikitokea prof palamagamba kabudi amekuwa vice president naomba asiache asili yake, kucheka sekunde mbili tu tena kwa kukenua tu na kufumba mdomo, awe mkali kwa maslahi mapana ya taifa kama alivyo katika hotuba zake.
ongezeni na yenu wana JF
Hahahah mkuu una sanaa ya uchekeshaji sanaYale macho sasa si ndo yatakuwa kama hondohondo....
Apumzike mahala pema peponi JJPMHaya madaraka haya madaraka!
Pumzika Kwa Amani JPM.
Time will tellLabda makamu wa rais wa familia yake
[emoji16][emoji16][emoji16] hiyo ndio sheria namba moja unapokua chawa lazima ufate upepo bossenzi ya kikwete si alikuwepo pia? Na tulikula bata kama kawaida, huyu ni mfata upepo tu, ataangalia upepo wa alie juu yake ndo atakuwa hvyo!
Nchi yenye SGR, FLYOVER, MADEGE, ELIMU BURE, MADARAJA YA ZIWANI NA BAHARINI, NA WAPINZANI WALIOKIMBIA KWAO.Makamu wa Raisi wa Madagascar?
[emoji16][emoji16][emoji16]Labda makamu wa rais wa familia yake
Umepata nini baada ya kuokotwa?Kumbe kuokotwa jalalani na mungu kunalipa.
Naunga mkono hoja! Huyu atamsaidia sana mama yetu!Ikitokea prof palamagamba kabudi amekuwa vice president naomba asiache asili yake, kucheka sekunde mbili tu tena kwa kukenua tu na kufumba mdomo, awe mkali kwa maslahi mapana ya taifa kama alivyo katika hotuba zake.
ongezeni na yenu wana JF
Aione kwenye jalada, mhe Rais Samia Suluhu HassanNaunga mkono hoja! Huyu atamsaidia sana mama yetu!
Mkuu sijawadharau, wanawake (Wamama) wakiwa kwenye uongozi mara nyingi ni miongoni mwa wanaofanya vizuri, mfano mzuri aliyekuwa Rais wa Liberia mama Ellen Johnson Sirleaf, Rais wa Singapore, tena huyu mmama wa Singapore namkubali kinoma, uchumi umetulia na wako vizuri.Usiwadharau
Soma Yeremia 31: 22.
Che mittoga Naamini umenielewa!Mkuu sijawadharau, wanawake (Wamama) wakiwa kwenye uongozi mara nyingi ni miongoni mwa wanaofanya vizuri, mfano mzuri aliyekuwa rais wa Liberia mama Ellen Johnson Sirleaf, rais wa Singapore, tena huyu mmama wa Singapore namkubali kinoma, uchumi umetulia na wako vizuri.