Yule jamaa wa twitter mshamuachia akili yote, anawageuza tu
daah...Jf siamini km Jf imeshuka kiasi hiki. mtu anatoa hoja nzito bila kuweka ushahidi/utetezi wowote wa kuitetea hoja yake? naungana na wanaosema mfumo wa elimu yetu ufumuliwe na kujengwa upya vijana wanashindwa japo kujenga hoja tu
 
Umakamu wa Rais wenyewe hata hauna insu,angenvunja Baraza na kuteua Waziri Mkuu mpya ndio ningesema kweli but sioni hilo likitokea kwa kuwa Majaliwa aliwekwa pale na Kikwete kama ambavyo Samia naye aliwekwa.
 
Hivi akiwa ndalichako kwa vile ni mwanamke mtamkataa,najua mkigoma yule anajua kukokomaa.
Kwanza hajui kiingereza
Pili anaongea kwa mihemuko
Anapanic akiwa site
Hajiamini awapo nje ya darasa analofundisha
 
January is our new PM. you can take these words to the bank.
SI mlimfuta kazi kipindi chenu Cha lake zone. Sasa anakuja kivingine.
Hii nchi itatawaliwa na wachaga kupitia mlango wa jikoni.
Piga ua garagaza
 
Ni YEYE. TUNARUDI KWENYE UFISADI TENA.
Awamu ya kina ritzmonko inarudi ikiwa imejiimarisha zaidi. Na actually mwamuzi mkuu kwa sasa ni mkuu wahiyo kaya. By the time muhula unaisha tunakuwa nchi mpya inayoitwa Hutwang Se Kiang Black County.

Tuombe Mungu sana.
 
CCM imeishiwa sana viongozi, ndio maana Magufuli alikuwa anateua wapinzani.
Kuteuwa wapinzani ni kuhalalisha uteuzi wenye uelekeo wa mrengo flani. Ni vizuri ikafanyika audit ya wateule wote na vigezo vilivyotumika kuwateua. Wasiofaa na kupendelewa watupishe, waonevu na wasiochapa kazi watupishe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…