Marumeso
JF-Expert Member
- Oct 3, 2009
- 1,410
- 1,325
daah...Jf siamini km Jf imeshuka kiasi hiki. mtu anatoa hoja nzito bila kuweka ushahidi/utetezi wowote wa kuitetea hoja yake? naungana na wanaosema mfumo wa elimu yetu ufumuliwe na kujengwa upya vijana wanashindwa japo kujenga hoja tuYule jamaa wa twitter mshamuachia akili yote, anawageuza tu