Tatizo siyo kuteuliwa je ni mtendaji ?
Raisi samiha s hassan anatakiwa achague mtendaji maana CCM imegawanyika makundi
1.CCM Asilia
2.CCM Makinikia
3.CCM Wazalendo

Ccm ina:-

Mafikizolo - wazawa
Gweregwere-Wachumia tumbo
Inzile-Wakuja
 
Nilidhan aliyewashtua ni lissu kumbe sie

Hapana lissu aliipa coverage tu ila naye aliitoa mapema sana baada ya kudhibitisha kwamba ni kweli na ndio maana alikuwa confident enough kutaja kwamba yupo kwenye support machine ,kupooza na kovid.
 
VP ndio atakuwa P anytime au baada 2025 ndio yeye atateuliwa mama namuona amezungukwa wanafiki na wacheza deal kisiasa .....muda mwalimu mzuri
 
hivi nyie ndugu zetu mnavuta bange ya wapi.??

nani alikwambia tanzania ina uwezo wa kujitegemea.???

mbona JPM alijinadi hivyohivyo ila ni majuzi tu hapa kashindwa kumalizia SGR baada ya mkopo toka uturuki kuisha akaomba na China tena.?.
 
Najua sio mda sahihi wa kuyasema haya, hasa ukizingatia bado tungali kwenye maombolezo kitaifa.

Lakini pamoja na hayo yote natamani sana kumuona RC wa Simiyu akiwa katika nafasi mbili za juu zilizobaki za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Antony ni mbunifu, mwenye hekima na busara. Ana sifa zote anazopaswa kuwa nazo kiongoz mkubwa. Ndani ya muda mfupi ameutoa mkoa wa Simiyu kutoka chini sana kielimu na kiuchumi na hatimae sasa hata ambao hatuujua mkoa huo kabla sasa tunaujua.

Mungu ni mwema nakuombea kila la kheri kiongozi bora kabisa katika awamu ya tano.
 
Picha
 
Katika hali isiyoelezeka na hisia zinazonijia Mara kwa Mara kwa mtu huyu, mojawapo wa viongozi katika mkoa wa Tanga kuwa Makamu wa Rais zinaweza kuwa kweli. Naona VP atakuwa mtu ambaye si maarufu sana ila ni kiongozi, Ni mtu imara sana maamuzi na asiyeyumbishwa. Tuache muda uamue.
 
Mungu tisaodie iwe hivyo.

Na asiwe tunda la mtandao kwa namna yoyote ile

Pia asiwe mpenda sifa awe mchapakazi kimya kimya.

Hivi rc s wa Tanga na wa Simiyu hawatajwi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…