King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
gogoki kashasema ni Nchimbi ,wewe na mimi ni nani tupinge?Hope makamu rais ni mtu mwingine kabisaa asie na umaarufu wake hope so so soo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
gogoki kashasema ni Nchimbi ,wewe na mimi ni nani tupinge?Hope makamu rais ni mtu mwingine kabisaa asie na umaarufu wake hope so so soo
Labda Wa chuo cha Upendo Vocation Training Center.
gogoki kashasema ni Nchimbi ,wewe na mimi ni nani tupinge?
Tatizo siyo kuteuliwa je ni mtendaji ?
Raisi samiha s hassan anatakiwa achague mtendaji maana CCM imegawanyika makundi
1.CCM Asilia
2.CCM Makinikia
3.CCM Wazalendo
Alisema baunsa Magu keshazikwa mbona msibani tunamuona
Sawa na pia alisema MEKO anaumwa/kakata kamba pia.
Kasema tena kuna waziri kavuta,wanasubiri msiba wa meko uishe watangaze tar 26 au 27.
Nilidhan aliyewashtua ni lissu kumbe sie
Angepatikana makamu wa Rais mwenye historia ya uzalendo wenye ushahidi kwa vitendo! Muumini wa falsafa ya mwl Nyerere ya kujitegemea na kutokutegemea misaada!! Wazee hawa bado wapo! Hawana tamaa ya kujitajirisha kwa ufisadi! Majasiri wasioweza kutikiswa na vitisho vya mabeberu!! Wanaojiamini! Wanaojiheshimu!! Walio tayari kuwa watiifu kwa mama wa taifa! Tulikuwa na baba wa Taifa na Mungu ametupa mama wa Taifa!
PichaNajua sio mda sahihi wa kuyasema haya, hasa ukizingatia bado tungali kwenye maombolezo kitaifa.
Lakini pamoja na hayo yote nataman sana kumuona rc wa Simiyu akiwa katika nafasi mbili za juu zilizobaki za jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Antony ni mbunifu, mwenye hekima na busara. Ana sifa zote anazopaswa kuwa nazo kiongoz mkubwa. Ndani ya muda mfupi ameutoa mkoa wa Simiyu kutoka chini sana kielimu na kiuchumi na hatimae sasa hata ambao hatuujua mkoa huo kabla sasa tunaujua.
Mungu ni mwema nakuombea kila la kheri kiongozi bora kabisa katika awamu ya tano.
No ni aina flani ya mtu anaependa na kuwajali watu wa dini yake tuKwamba dini yake kikwazo au?