Sina mengi, ila ujumbe huu mh Assad,ukufikie popote ulipo,na uwafikie wats wote wenye mapenzi mema na Taifa hili.

Bila ubinafsi na uroho wa madaraka,uchama, na ile kitu kiitwachwo wanamtandao bwana anakuona Kama mtu muhimu,uaeweza, kulisaidia Taifa hili KATIKA nafasi ya VP, nakuweza kumsaidia Rais wetu mpya KATIKA kutimiza ndoto zake kwa Taifa hili KATIKA kipindi chake.

Maana Kuna hofu ya MUNGU ndani kwako, sio mwizi, sio mnafiki, ila pia shule ipo

Swali ni je wale waliowaroho wa madaraka, wanamtandao watapenda kulisikia Hili,jibu ni hapana,ila MUNGU anawambia walisikie na walifanyie kazi Mara moja.

Note itakuja HOJA kwamba sio vyema Vp na President kua na imani moja, HOJA ambayo binfsi, naiona haina mashiko kabisa hasa linapokuja,swala la Taifa nyeti Kama Hili la kumpata kiongozi anaestahili, kuwa na viongonzi wa juu wenye imani moja so far MUNGU ni mmoja tukeshae na kumuomba sio tatizo, japo hutumika Kama busara,maana sidhani Kama imetamkwa kwenye Katiba kwamba viongonzi wa juu wawe na imani tofauti

HATUWEZI ACHA TUMIA WATU MAKINI WENYE UWEZO KUFANYA VIZURI KATIKA KULIONGOZA TAIFA KISA WANAMTANDAO,WANAUROHO WA MADARAKA, WA KULINDANA TZ YETU WOTE
 
J sinde Warioba
 
Fisadi na mfia dini yule hafai.
 
Hatuwezi kua na rais muislam, makamu muislam, katibu mkuu muislam na PM muislam
 

Hafai kwy ngazi hiyo!
 

Simbachawene au Mtaka

Andunje hatumtaki na genge lake
 
Hiyo list yote hapo namuona labda makinda tu.
 

January ndumilakuwili alimsema sana JPM kwy voice note yao! Huo ni usaliti flan kwenye chama
 
Nasikia Wasukuma wanataka hiyo nafasi kwa udi na uvumba. Waziri wa ujenzi ndio chaguo lao ikishindikana basi hata Askofu Rashid au Makonda.
Ninachoshukuru wasukuma hawafuatilii kabisa hizi propaganda

Halafu mbona kina Masawe na Mushi hakuna anayetajwa au sisi ni fuata upepo?
 
Prof. Sospeter Muhongo
 
Rais aongozwe tena??

Kwamba hana uwezo wa kuongoza??
JK from President to Deputy President??

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Ni chaguo pekee na hakuna mwingine zaidi yake.

Kasim Majaliwa for Vice President.

Au mnasemaje!?
 
Ngoja jina litoke hamtakaa muamini baada ya kuja jina ambalo halijawahi jadiliwa hapa hata siku moja, muda utaongea kaa kwa kutulia wajumbe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…