Umenena vema. Wasiraaaaaa[emoji817], amechomwa mikuki mingi na ameivumila. Ila asiwe mwenye kulipa kisasi
Ni wasira huyuhuyu tunayemfaham ndie mnataka awe Vice President au kuna mwingine?[emoji2]
 
Emmanuel Nchimbi huyu aliyeshindwa hata kuwasemea wana Songea akiwa Bungeni akamaliza kipindi chake chote huku wananchi wamebaki kwenye umaskini wa kupindukia hakuna umeme, maji wala huduma za afya?
 
Mizengo Pinda kwanini asiachwe astaafu siasa kwa heshima? kwani kuna kitu walibakiza serikalini au ni uroho wa madaraka tu
 
Amshauri arejeshe kaulimbiu ya maisha Bora kwa kila mtanzania, inaunganisha watu na kuwapa ari.
Na amshauri neno mabeberu likome kutumika kisiasa.
Na neno Wanyonge. Kunakuwaje na wanyonge ndani ya nchi huru? Wanatambulikaje au sifa zao ni zipii? Wamefikaje hapo?
Kujiita mnyonge ni balaaa.
 
Professor Mwandosya anastahili Kuwa mmoja wa wanaccm ambazo wana uwezo mkubwa wa kuweza kumsaidia mama Samia kama makamu wa Rais. Tukumbuke tu kuwa aliwahi kuwa mgobea kuteuliwa na chama mwaka 2005 kugombea URAIS na akaingia katika TATU bora akiwa sambamba na Kikwete na Salim Ahmed Salim. Ni mtendaji mzuri na hana historia ya kuadhibiwa na chama. Ni msomi ,mchapa kazi na sio mnafiki aliyekuwepo nchini wakati wa kuinadi ilani ya uchaguzi iliyowaweka mama Samia na marehemu Magufuli madarakani. Mama Samia anahitaji mtu jasiri na mkweli kumsaidia , tunu ambazo professor huyu anazo.
 
Mark Mwandosya hatajwi?!
 

mjomba wako kama yupo anafaa sana
 
Habari Wana Jf

Huyu ni Mbunge wa Ngorongoro na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje Kama sijakosea.
Kipindi Fulani alikuwa katika mashirika ya kusaidia Maasai Pingo's Forum kabla ya Ubunge.
Nimeonyeshwa anakwenda mbele zaidi katika ndoto zangu.

Mwenye kumjua zaidi atiririke..
 
Mnadhani katiba inavunjwaga tu kwa mawazo ya kipuuzi kama haya ya kwako?
We ni mtu wa ajabu sa
Mnadhani katiba inavunjwaga tu kwa mawazo ya kipuuzi kama haya ya kwako?
Aisee wewe nashindwa nitumie neno gani ,itoshe kusema hoja haijibiwi KWA ma matusi,na kebehi,bali hujibiwa KWA hoja, so niseme unamapungungufu flani japo hujijui, na jilekebishe Mara moja kabla ya kumuomba mungu akufundishe KWA kiwango chake ,
Mnadhani katiba inavunjwaga tu kwa mawazo ya kipuuzi kama haya ya kwako?
 
Kuna kipindi niliwah kukaa nae siti moja mwisho kabisa Fast jet from Arusha to Dar...
Men, the guy is smart, a solid patriot who believed in Socialism and a hard core follower of Magu principles
Best of lucky bro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…